Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

Dawa ya makundi haya ya kihalifu ni moja. Kuwaua. Kwamba wakikamatwa 18, angalau nusu wauawe. Ama wananchi, au polisi wawaue watoto hawa.

Kuwakamata, kuwafungulia mashtaka, kuwafunga, kuwatisha kwa kuwakemea kwenye vyombo vya habari ni hatua za kipuuzi ambazo hazi saidii kukomesha vitendo wanavyofanya.

Kamata, piga, ua. Wizi uswahilini na ujambazi viliisha kwa staili hiyo sio kauli za kuwatisha kwenye press conference.
 
Hili swala waende wakapate uzoefu kwa mzee wa kiraracha yy anajua walichofanya na mzee mkapa rip kuwamaliza majambazi hasa waliokuwa. Mby rpc akiwa kova au mwema kama sijakosea na rc alikuwa mramba majambazi wa chunya na kila eneo walikimbia hadi leo jombi hajulikani alipo miaka mid 90's hapo hakuna jambazi aalikuwa anakamatwa anapelekwa eti kituo cha polis
Ningekuwa mm ningefanya silent cleaning kama ya oparesheni tokomeza ya jk mpaka leo majangili wamepungua

Exactly. Kamata, Kichapo, Ua. Kamata, kichapo Ua. Kama alivyofanya Duterte kwa waZungu wa Unga. Mambo kama haya hayataki sijui eti Diplomasia, Hotuba kwenye vyombo vya habari, sijui innocent until proven gulity, sijui haki binadamu. Mtu anapoamua kujitoa akili na ku destabilise amani ya nchi dawa yake ni kumpoteza tu. Amani na Utulivu wa nchi ni muhimu kuliko maisha ya vijana kadhaa waliochoka kuishi. Kill them.
 
Mbona kuna mtu wa Buza nimepiga simu kasema kupo shwari tu ?
 
Dawa ya hao manyoka wakujiita panya road inatakiwa wakikamatwa wale chuma tuu ndio watapotea tofauti na hapo watasumbua saana
 
Vyombo vya usalama vichukue hatua, hawa vijana wanazidi kuota mapembe
 
Exactly. Kamata, Kichapo, Ua. Kamata, kichapo Ua. Kama alivyofanya Duterte kwa waZungu wa Unga. Mambo kama haya hayataki sijui eti Diplomasia, Hotuba kwenye vyombo vya habari, sijui innocent until proven gulity, sijui haki binadamu. Mtu anapoamua kujitoa akili na ku destabilise amani ya nchi dawa yake ni kumpoteza tu. Amani na Utulivu wa nchi ni muhimu kuliko maisha ya vijana kadhaa waliochoka kuishi. Kill them.
Sijui hawa viongozi wanafikiria nin,dawa yao ni kuwapoteza tuu nadhan kipindi cha mzee jiwe kilijitokeza hiki kikundi lakn wakimatwa walikuwa wanapotezwa tuu
 
Tatizo watu hamna ushirikiano , sisi mitaa yetu tushawachoma na kuua hawapiti tena ,jana tu wamepita mtaa wa pili kuambiwa tu kila mtu kaenda kwake kuchukua silaha
 
Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike

Polisi wetu waliingizwa sana kwenye mambo ya kisiasa hasa kudhibiti wenye Mawazo tofauti na watawala, Walisahau kabisa Kazi yao ya kulinda raia na mali zao!

Hapo ndipo tulipofikishwa,So sad!
 
Boko haramu walianza hivi hivi kimasihara likaja likawa kundi hatari sana Nigeria.POLISi peke yake hawawezi kulimaliza tatizo hili kwani chimbuko lake kinaanzia mbali sana ,Wizara zote zinabidi kushirikiana kutokomeza wimbi hili la uharamia.pia serikali wasilichukulie juu juu tu kwani kunahiwezekano kuna watu wanao ratibu mambo haya kwa hiyo uchunguzi wa kina pia ufanyike.
Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike

Kwanini haya matukio ya uhalifu wa mtaani,hujirudia kwa baadhi ya awamu?
Maana sio tu kwa Dar, hata mkoani watu wanalalamika wizi wa mtaani kurudi kwa kasi. Tatizo ni nini???
Ujangiri kuua tembo umerudi, upigaji kwenye miradi ya serikali, biashara ya madawa ya kulevya, panya road pia wamerudi, tutasikia mengi sana
huwa yanachagua awamu zinazogawanyika kwa mbili bila kubaki desimali
 
Kazi ipo kwelikweli lakini zikianza 'street justice' wasitokee waimba pambio kuhimiza kusamehe maana wataanza kuchomwa moto hao panya road
 
Back
Top Bottom