Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Rais anadharaulika Hadi na panya road, unategemea polisi gani atatii amri yake?Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais anadharaulika Hadi na panya road, unategemea polisi gani atatii amri yake?Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
Umefikiri kiutoto sana hapa, waliokupa likes ni watoto zaidi maana wanarukaruka tu bila ya kufikiri.........nilichomaanisha ni kuwa wenye jukumu la ulinzi watapata njia; watajulikana wanaohujumu na kuzuiwa katika njia ambazo wenyewe watabaki wanashangaa wamejulikana vipi. Kibiti lile zuio halikutokea kwa uwezo wa watu tu, mimi mwenye Mungu wangu naamini alihusika katika kutoa 'mwanga' wa kuwafurusha wale jamaa. Mtwara hivyo hivyo. Sasa we endelea na tafsiri zako immature!!atashuka kuokoa au vipi. nyie ndio mtu anaangamia na moto unafanya maombi badala ya kuzima moto. Mungu ameshaweka mamlaka duniani,zitake zifanye kazi
Aisee!Kwa inshu ndogo kama hiyo unataka na mungu pia atusaidie kweli huo ni udhaifu wa kiwango cha lami
Ccm ni mafiiiNahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
Biashara ya ngada imerudi, mambo ya ukoo wa mzee wa msoga ndiyo maagent wa ngada hapa tz na matokeo yake ndiyo hayaKwanini haya matukio ya uhalifu wa mtaani,hujirudia kwa baadhi ya awamu?
Maana sio tu kwa Dar, hata mkoani watu wanalalamika wizi wa mtaani kurudi kwa kasi. Tatizo ni nini???
kuna wale wakiumwa homa wanachukua biblia na kupiga fayaaaaaaaaaa,badala ya kwenda hospitali. Nilikuwa najiuliza ni nani walimu wa hawa waumini? kumbe ni watu kama wewe.Umefikiri kiutoto sana hapa, waliokupa likes ni watoto zaidi maana wanarukaruka tu bila ya kufikiri.........nilichomaanisha ni kuwa wenye jukumu la ulinzi watapata njia; watajulikana wanaohujumu na kuzuiwa katika njia ambazo wenyewe watabaki wanashangaa wamejulikana vipi. Kibiti lile zuio halikutokea kwa uwezo wa watu tu, mimi mwenye Mungu wangu naamini alihusika katika kutoa 'mwanga' wa kuwafurusha wale jamaa. Mtwara hivyo hivyo. Sasa we endelea na tafsiri zako immature!!
kwani serikali imekataza kumiliki silaha?Serikali ituruhusu kumiliki 'vya moto', ukikutana nao wakakuletea mchezo unawawasha, wataacha huo ujinga.
Bado kipindupindu sema mvua zilikata maana usafi umeachwa kusimamiwa ila kilichobaki ni kukusanya pesa za usafi na kuliwa na viongozi wa serikali , kwa sasa takataka zikizolewa ni kwa mwezi tena kwa bahati tu tena wanazoa kibabaishajiUjangiri kuua tembo umerudi, upigaji kwenye miradi ya serikali, biashara ya madawa ya kulevya, panya road pia wamerudi, tutasikia mengi sana
Muandishi hajui jombi alipoJombi hajulikani alipo?
Haya!kuna wale wakiumwa homa wanachukua biblia na kupiga fayaaaaaaaaaa,badala ya kwenda hospitali. Nilikuwa najiuliza ni nani walimu wa hawa waumini? kumbe ni watu kama wewe.
Tatizo watu hamna ushirikiano , sisi mitaa yetu tushawachoma na kuua hawapiti tena ,jana tu wamepita mtaa wa pili kuambiwa tu kila mtu kaenda kwake kuchukua silaha
Cabinet ya Mama Piraa ndio wakali wa hizi kaziUjangiri kuua tembo umerudi, upigaji kwenye miradi ya serikali, biashara ya madawa ya kulevya,
Hta wakati was jiwe uhalifu ulikuwepo tena ulifanywa na wakuu was wilaya na mikoaanaupiga mwingi
maeneo gani hayo wamemzika mzmaSalute kwa wakurya wa kitunda wamemkamata panya road na kumzika mzima mzima mpaka kamanda siro kaogopa ilibid aje kuwaomba wasifanye tena maana jesh litaonekana limeshindwa kaz
Kivule hukumaeneo gani hayo wamemzika mzma