Panya road wanauawa kwa risas. Je, wezi wa mabilioni ya kodi za Watanzania wanabakije salama?

Subiri
Siku mke wako amebakwa ndiyo utajua
 
Unatumika kisiasa mkuu,wezi gani wa mabillion wataje?
 
Nimeamini nchi hii ina wajinga wwngi mmoja wao ndio wewe. Kwa hio unataka panya road waachiwe tu ee?
 
Nimeamini nchi hii ina wajinga wwngi mmoja wao ndio wewe. Kwa hio unataka panya road waachiwe tu ee?
Wapi nimesema panya road waachwe tu wafanye watakalo ?

Mimi nakushangaa wewe mwerevu unaeona ni haki panya road kupigwa risasi lakini majizi yaliyopelekea kuzaliwa panya road menyewe yaendelee kula mema ya nchi

Mtoa maada anahtaji utaratibu uliotumika kuwamaliza panya road huo huo utumike kumaliza mezi ya nchi hii.

Sijui waziri wa nini kunaubadhirifu kwenye wizara anayoiongoza yeye na katibu wake tunasikia tuu walitaka kuwakimbia na wakawa wanajihami askari wetu wazalendo wakawapyupyupyu

Ni hivyo mkuu na sio kutetea uhalifu au wewe waonaje hili
 
Mda umefika kuanza kuwataja
 
Wakianza kuwapukutisha mnaowataka mtaanza kulalamika mfano bado mpo naslogan ya ben,azory,lissu(ukute walianzanae mkalalamika kaonewa) kila kukicha.

Acha kutetea panya road. Angalia hapo kwa akina selasin na mbatia nani aliyejua nccr ina utajiri wa kutosha. Angeporomoshewa risasi mbatia wote mngeibuka kulaumu na kutetea sio fisadi
 
Bensaanane ,Azory Gwanda na Lissu kwa uwanda wako wa uelewa hawa walikula tozo na ushuru ama mkopo wa Jamhuri ya Tanzania?

Kiukweli tunahtaji walioko madarakani akila au ofisi yake ikakutwa na ubadhirifu pyupyupyu iwahusu.

Wewe unaleta watu ambao hawapo serikalini huku sisi tunahtaji wale ambao hawezi kubana matumizi yao kipindi hiki kigumu wakiendelea kununua magari ya anasa kila kukicha.

Hao ubinafisi wao umekuja kuwazalisha panya road,Kwa hiyo tukiwakomesha hawa na panya road na wao wataisha wenyewe tu
 
Panya road ni tishio zaidi kwa mwananchi wa kawaida kuliko hao wezi wa mabilioni.
Wezi wa mabilioni hawavamii nyumba za watu na kisha kuwasababishia maumivu, majeraha na vifo. By the way hata kama fedha hiyo isipoibiwa na hao majizi, haina athari za moja kwa moja kwa kila mwananchi wa kawaida, ila panyaroad wana athari ya moja kwa moja kwa wananchi wote( Mfano: maeneo mengine vijana wataiga upanyaroad wakiona hakuna athari hasi ya upanyaroad hii itapelekea mateso na taabu kwa kila mwananchi). Hivyo, hizo athari hasi wanazozipata panyaroad zitawakatisha tamaa vijana wengine kujiunga na upanyaroad na hivyo upanyaroad utakufa.
NB
Ni ngumu sana, kucontrol upanyaroad kwa kutumia sheria ingawa sheria nzuri ni kiongozi mzuri zaidi kuliko mtu mwenye akili ya juu sana na busara ya juu sana.
Upanyaroad hauwezi kuisha kwa kuchekeana( Omba usipate bugudha hiyo ya panyaroad, lazima utakuwa sadist).
 
Mtu anakuchana chana na sijui nyembe, panga mara bisibisi ili akunyang'anye simu ya laki hana maana.
Mkuu temeke iyo niliwahi poteza viatu na simu baada ya kukutana na kundi la vijana kati 6/7.

Binafsi sina la kulishauri jeshi la polisi . Waachwe waendelee tu na mkakati wao mpaka mwisho
 

Unajaribu kuhusianisha na kuwianisha vitu ambavyo havindi pamoja.
 
Wezi wa mabilioni hawashiki mapnaga na kuua wasio na hatia,wezi wa mabilioni hawakato watoto wachanga miguu kisa kupora simu. Acheni kutetea upumbavu
Soma,vzr hiyo post ndio ujibu ili usiangukie kwenye kundi la wajinga
 
Wataje mkuu ahat wawili tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cheki hii punguani wewe unadhani fisadi ana alama, umeshaanza utetezi kabla hata ya suala hnalotaka kufanyiwa kazi. Panyaroad wapukutishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…