Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Tatizo la watu wa DSM hata wakiona mtu amevamiwa na anapiga yowe akiomba msaada wanajitia ubizeNapenda kuwapa update kwamba askari wamefanya yao ,wamewapa vyuma panya road walioshiriki na kuleta taharuki maeneo ya boko na bunju....wote wameuawa.
Big Up sana ,hakuna kucheka na Panya road wala jambazi..
Hao mapanya rodi yamelelewa kwenye mitaa na ndugu jamaa na wazazi wanajua hayo magenge ila hawasemi maana wananufaika sana