OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
"Amani haiji ila kwa ncha ya upanga"; walisema wahenga.Yaan momepita hapo Bunju B Kama do 10 zilizopita, nimeona heka heka, defender na police wengi, aisee... Amani ni kitu muhimu Sana.
Hivi kumiliki Bastola masherti yake ni yapi?