Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,203
- 2,771
Hawa jamaa wamerudi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi shikiria hapo hapo subiri utangaziwe idadi ya waliopasuliwaKwani heading ya huu Uzi inasemaje?
Inawezekana kuna nguvu kubwa nyuma yao.Mimi nimesikia ni Bunju kwa baharia na watu wamefunga maduka. Vyombo vya dola chukueni hatua! Hili tishio linaelekea pabaya sana.
Wananchi wakiamua kujilinda damu zitamwagika pande zote na mbaya zaidi raia wema ndio wahanga wa mwanzo.
Tukubaliane hili swala soon litagusa watu nyeti ndio tuamke maana kuna dalili linakomaa sasa.
Inasemekana hawa wahalifu sio usiku tu hata mchana wanavamia.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Alafu kuna mmoja anasema tetesi kuna mtu kanipigia Mimi piaNipo mkoani jamaa yangu kanipigia Hali mbaya panya road awachek na mtu ni kuchalanga Tu panga raia
Kwa mazingira ya dar huko bunju si ndio luna ng'ombe zote za wenye Dolari( dola)Habarini za usiku huu, wakazi wa Bunju tupo kwenye sintofahamu ya kuvamiwa na hao vijana wanaojiita panya road ,leo ikiwa ni mara ya tatu, ya kwanza ilikuwa wiki liyopita usiku wa kuamkia jumamosi.
Mara ya pili ni usiku wa kuamkia jana ambapo pia wamejeruhi watu vibaya, leo tena usiku huu walikuwa Bunju A wakikimbiza watu na kutishia maisha ingawa polisi wameshafika maeneo hayo na wanawakimbiza hao vijana ambao ni kundi kubwa mno...
Nipo nyumbani tena ndani,sina raha na sijui kama nitaweza kulala, msidai picha maana sina....!
Huu mwandiko uacheni tu....
Ki ujumla wanachekewa awa polisi wakipambana na raia wa kawaida utawakataa hawana huruma lakini panya road wako full wana tawala tuAlafu kuna mmoja anasema tetesi kuna mtu kanipigia Mimi pia
Hao wanakunywa bia tu, wanachoweza ni kuwadhibiti raia wanaokatiza kwenye makambi yao tuHivi hakuna hata kambi ya jeshi karibu huko, naona kama polisi kazi ya panyaroad imekuwa ngumu kwao...
Wananchi wa Dar es Salaam wachukue hatua gn?Mimi nimesikia ni Bunju kwa baharia na watu wamefunga maduka. Vyombo vya dola chukueni hatua! Hili tishio linaelekea pabaya sana.
Wananchi wakiamua kujilinda damu zitamwagika pande zote na mbaya zaidi raia wema ndio wahanga wa mwanzo.
Tukubaliane hili swala soon litagusa watu nyeti ndio tuamke maana kuna dalili linakomaa sasa.
Inasemekana hawa wahalifu sio usiku tu hata mchana wanavamia.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app