Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

Ni aibu kwa Wakiristu kuunga mkono na kuuvumilia ushoga!.

Na hili hatuwasingizii maana kanisa la Anglican lenyewe linafungisha ndoa za mashoga kabisaa.

Na sasa kanisa la kikatoliki nalo limeanza kubariki "COUPLES" za mashoga badala ya kuwahubiria na kuwaombea waache dhambi ya UFIRAJI na UFIRWAJI la hasha!.

Na haya ni makanisa makubwa sana duniani.
 
Hakuna mkatoliki atakaempinga PAPA.
PAPA ndio muwakilishi wa KANISA KATOLIKI DUNIANI.
Atakachosema LAZIMA KIFUATWE NA WAKATOLIKI WOTE.
YYT atakaepinga basi Kwa Imani zao AMELAANIWA.

Kwahio tujiandae kuona Ndoa za jinsia moja kwa wingi sana hapa Nchini.

Mi tayari nimeanza mpango nataka kufungua sehemu ya kushona magauni ya wanamme.
Wateja wa kumwaga.
[emoji23][emoji16][emoji23]
 
Ni aibu kwa Wakiristu kuunga mkono na kuuvumilia ushoga!.

Na hili hatuwasingizii maana kanisa la Anglican lenyewe linafungisha ndoa za mashoga kabisaa.

Na sasa kanisa la kikatoliki nalo limeanza kubariki "COUPLES" za mashoga badala ya kuwahubiria na kuwaombea waache dhambi ya UFIRAJI na UFIRWAJI la hasha!.

Na haya ni makanisa makubwa sana duniani.
NI... POLEPOLE...HATUA KWA HATUA...
 
Back
Top Bottom