SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Nilishasema humu na nitarudia kusema ya kuwa huu ndio muda muafaka wa Kanisa Katoliki la Afrika kujitenga mazima na Roman Katoliki Empire.Kumbe Papa yuko serious? Wa katoliki wa Africa wajitafakali. Hii habari ni nzito. Wimbi hili la ushoga ndani ya Kanisa katoliki