Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

Asante papa kwa kuwaambia ukweli waafrika kwamba ni suala la muda wataelewa tu na kuukumbatia ushoga kama walivyoacha tamaduni zao na mila zao na kuukumbatia ukristo na uislam.

Kwa maana hiyo, kama watu wa afrika waliweza kuacha mambo yao na kuukumbatia uyahudi, uroma na umedi hawatokuwa na akili ya kuukataa ushoga
You nailed it.
 
Kweli kabisaa.
 
Wengine tulisema humu, lakini baadhi ya wakumbatia ukatoliki uchwara wakatupingana ukali.

Tunasema tena, Papa na Vatican walishaupokea ubwabwa kwa 100%, kinachoendelea ni mchakato mdogo mdogo wa kuutekeleza kikamilifu kwa wakatoliki wote.
Sasa ajabu nn?
 
Ndio asingetengua ile kauli yake ya mwanzo aone sasa kama waafrika ambao ndio waumini wengi wa hilo kanisa duniani kama wasingelikacha na kuanzisha Africa catholic lisilokuwa na upuuzipuuzi wa mtu mweupe.

Wazungu wengi siku hz ni mafirauni hayakwendi kanisani,wala misikitini,imani imebaki Afrika tu ndio maana wakaogopa.kwani tayari mataifa ya Afrika kadhaa tayari yalishapingana na msimamo wa Papa Shoga la sasa
Sasa hapo Papa katengua au kafuta kauli ipi?
 
Back
Top Bottom