Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Nimezaliwa na kukulia kaskazini sijawahi kuona huo upuuzi. Sio zamani na wala sio sasa.Unasema kuhusu zamani kaka watu hawakuelimika na kustaarabika vya kutosha.
Japo mie mnyamwezi wa Ndevelwa sio mtu wa pwani ila hayo mambo sio ya kusema ya kabila fulani.
Yamesambaa kila kabila hata kanda ya ziwa unayakuta kwa wingi kwasasa.