Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

Ni aibu kwa Wakiristu kuunga mkono na kuuvumilia ushoga!.

Na hili hatuwasingizii maana kanisa la Anglican lenyewe linafungisha ndoa za mashoga kabisaa.

Na sasa kanisa la kikatoliki nalo limeanza kubariki "COUPLES" za mashoga badala ya kuwahubiria na kuwaombea waache dhambi ya UFIRAJI na UFIRWAJI la hasha!.

Na haya ni makanisa makubwa sana duniani.
 
[emoji23][emoji16][emoji23]
 
NI... POLEPOLE...HATUA KWA HATUA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…