TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88


Innalilah wainna iraih rajiun

View: https://x.com/thatverydarkma1/status/1915190457539141691
 
R. I. P

Francis, ananikumbusha Jamaa Yangu, Ambaye naye yupo Udongoni.

Faustine R. I. P


Faustine, Jamaa Yangu Ambaye michakato ya kutafuta Kusomea ukasisi/Upadre nilikuwa nayee karibu sana mpaka akapata Kusomea ukasisi.

Bahati mbaya akiwa anasomea ukasisi, akapat ajali, uhaii wake ukakatishwa...

Huyu jamaa tulikuwa tunamjadili sana papa, tulikuwa tunachallengiana sana kuhusu biblia.

Papa Francis miaka ya mwanzoni katika kiti na harakati zake za mageuzi, basi tulikuwa tunaweka mjadala kuhusu harakati zake.

Nilikuwa namwambia Jamaa Yangu ukitafakari kwa kina utaona papa analiokoa kanisa na mafundisho yake lisije kufutika na kusahaulika kama Mithraism, Zoroastrianism , zama zinabadilika kwa Kasi.

Jamaa Yangu anasema, papa huyu anataka kututia aibu, na kutupa Wakati mgumu kujieleza na kueleza mageuzi.


R. I. P Faustine & Francis.

Tunakumbuka -Gk ft tid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…