Vashita
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 707
- 924
SafiAh mi sio Kadinali wala nini ila naamini kwa koneksheni zilizopo humu mkinipigia promo mbona nafasi naichukua ile asubuhi na mapema..?
SafiAh mi sio Kadinali wala nini ila naamini kwa koneksheni zilizopo humu mkinipigia promo mbona nafasi naichukua ile asubuhi na mapema..?
Nipo safarini kuelekea msibani...😥😂😂 Nilikuwa natafuta comment Yako Mkuu.
Imeniuma sana yani...😥Nilikua natafuta comment hii die too soon
Hahahah kwaajili ya kuconfirm kama ni kweli au bado mkuu.Nimeona umenipiga nyundo za utosini mara 3 ili niamke kwani nani amesema nimelala humu JF?
Yaan km ni kweli au bado nini nimekufa wakati nipo macho hapa unaniona nikipiga misele JF humu ndio unipige nyundo 3 za utosini kweli?Hahahah kwaajili ya kuconfirm kama ni kweli au bado mkuu.
Nitaanza kumranda yeyeHivi kuubariki ushoga, ndo waja mna nongwa kiasi hiki? Sasa anae kuja ndo ana halalisha kabisaa.
Sijui itakuajee, lol
Sifa ya kushiriki Conclave (kikao cha kumchagua Papa) sharti uwe Kadinali na imekuwa hivyo for centuries.Ni kipindi sasa tuchague Papa ambao ni vijana!!
Nitaanza kumranda yeye
Hivi kwa wanaohifadhi maiti masiku kadhaa hata mweziKuna wenzetu wanazikwa wakiwa half dead
Alikuwa anawapigia kanisa la catholic kila usiku mda woteBad, Alikua mstari wa mbele kuitetea Palestine kuliko hata waarabu wenzao.
Hahahahahaa.Yaan km ni kweli au bado nini nimekufa wakati nipo macho hapa unaniona nikipiga misele JF humu ndio unipige nyundo 3 za utosini kweli?
Nguvu? Kaumwa na hata hajajiponya? Hivi hufikirii? Kama hizo nguvu alizonazo hakuweza kuzitumia kujiponya maradhi yake akiwa hai, ataweza nini na ameshakufa amekiendea alichokitanguliza!?leo usiku lazima ufe , aga mapema, Pope huwa na nguv za ajabu kwa kashifa hii unayoifanya. Ufe salama rafiki yangu
Aamyn ya rabb.Nguvu? Kaumwa na hata hajajiponya? Hivi hufikirii? Kama hizo nguvu alizonazo hakuweza kuzitumia kujiponya maradhi yake akiwa hai, ataweza nini na ameshakufa amekiendea alichokitanguliza!?
Mola Mlezi wa Walimwengu wote, Allah, ndiye wa kuogopwa na ndiye Muweza juu ya kila kitu. Mola Mlezi wa Walimwengu wote aliyemfisha huyo licha ya kuwa na huduma bora za kiafya na akawaponya na kuwapa uzima wengi licha ya huduma duni za kiafya mpaka itakapofika ajali yao wasicheleweshwe na wasiwe na pa kukimbilia ila kwake, akawafisha kama alivyomfisha huyo, ndiye Muweza wa kila kitu.
Namuomba Allah anifishe katika Tawheed na Sunnah, Aamiin.
Ulitabiri nitakufa usiku kisa kufurahia kifo cha huyo Papa mtetezi wa mashoga , leo nipo hai siku ya 3 vipi huyo Papa nguvu zake za ajabu ziko wapi?leo usiku lazima ufe , aga mapema, Pope huwa na nguv za ajabu kwa kashifa hii unayoifanya. Ufe salama rafiki yangu
wewe huna mweziUlitabiri nitakufa usiku kisa kufurahia kifo cha huyo Papa mtetezi wa mashoga , leo nipo hai siku ya 3 vipi huyo Papa nguvu zake za ajabu ziko wapi?
Wewe mwezi unao?wewe huna mwezi