TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Nakumbuka amewahi kusema kwa kumuuliza swali Mwandishi wa habari " Unafikiri Mungu atampenda zaidi Padre Mkatoliki sababu tu ni Padre Mkatoliki halafu ampende kidogo Martin Luther King Jr au Mahatma Gandhi?" RIP Pop Francis
 
Ujahilia ulikuwepo tangu enzi na enzi
Bila Nyerere hata machifu wa bara kabila moja walikuwa wanazikwa na mwali alie hai akiwa amempakata marehemu

Nyerere akapiga marufuku ujima huo

Sasa na nao wanaona aibu leo Vatican na kusema ni uzushi ila yalikuwepo

Nyundo kwa makhususi ya kuamsha waliolala 😄 🤣

Ila hakuna kuamka maana wakati ukifika hata uwe nani utaondoka tu
Hata uwekwe mwezi huamki tu
Hahaha nashukuru sana kwa historia murua mkuu wangu.
 
Aje papa wa kiafrika mweusi tii wa kusini mwa jangwa la sahara
Kwanini unataka Papa wa dini ya watu awe mweusi tii! Undeni dini yenu nyie mlio weusi ili muwe na papa wenu mweusi. Lakini kama ni hii hii dini ya watu hilo kamwe halitatokea. Mtumwa hawezi kuwa mkuu wa dini ya watu.
 
Papa mabikira hahitaji maana kuanzia huku dunia alikuwa mtu aliyejitia wakfu kwa ajili ya Muumba wake kwamba hatamjua mwanamke. Hata mtambo wake wa kufanyia yale mambo ya wakubwa itakuwa haijui hata namna ya kufanya😎😎😎
Mwombeeni nae mabikra 72 au hata nusu yake.
 
Back
Top Bottom