TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.

Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.

======================================

Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.

The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.

He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.

View attachment 3310884

View attachment 3310870

Source: BBC
 
Kwa nini hakunaga mapapa vijana ili kuhepusha kufa mapema kwa wazee.
 
Hahahaah eti nyundo huku unamuita mara 3 kwamba " zerominus10 zerominus10 zerominus10 umekufa kweli!?" asipoitika nyundo 3 zinatembea kichwani halafu ndo msiba unatangazwa.
Ujahilia ulikuwepo tangu enzi na enzi
Bila Nyerere hata machifu wa bara kabila moja walikuwa wanazikwa na mwali alie hai akiwa amempakata marehemu

Nyerere akapiga marufuku ujima huo

Sasa na nao wanaona aibu leo Vatican na kusema ni uzushi ila yalikuwepo

Nyundo kwa makhususi ya kuamsha waliolala 😄 🤣

Ila hakuna kuamka maana wakati ukifika hata uwe nani utaondoka tu
Hata uwekwe mwezi huamki tu
 
Apumzike kwa amani mzee.

Kuna kijana mmoja hua anafanya utani mitandaoni anasema mungu anakupa ugonjwa ufe mapema urudi kwake halafu unamzunguka unaenda hospitali.

Inakuja swali, kwa nini viongozi wa dini wakiugua wanakimbilia hospitali wakati wanahubiri kwamba Mbinguni ni pazuri, pana kila kitu, Pombe, wanawake wazuri mabikra 72, misosi mizuri, bustani, hakuna magonjwa wala maumivu yoyote, ni raha mustarehe milele na milele lakini wakiugua hata mafua tu wanakimbilia hospitali, wanaogopa nini kufa wakaende kula raha huko mbinguni? Ama hawaamini wanachokihubiri? Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
Hebu tuliza wenge na munkari kidogo
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.

Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.

======================================

Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.

The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.

He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.

View attachment 3310884

View attachment 3310870

Source: BBC
Nenda kwa amani Papa Francis tutakukumbuka daima kwa kutuachia waraka mzuri ambao Africa huku wagalatia ingawa wanaupinga
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.

Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.

======================================

Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.

The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.

He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.

View attachment 3310884

View attachment 3310870

Source: BBC
Uchafu wa makanisani na misikitini
 
Alishajifia kitambo walikuwa wanataka kutangaza siku ya Easter.

Uzoefu,ukiona mtu amugua sam's kiasi Cha matumaini Keisha harafu akapona ghafla wewe jua tuu kwamba anaaga
 
leo usiku lazima ufe , aga mapema, Pope huwa na nguv za ajabu kwa kashifa hii unayoifanya. Ufe salama rafiki yangu
Kesho ntakuja ku reply comment yako nikiwa hai ili ujione ulivyo mpumbavu kama huyu Papa wako
 
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe, Apumzike kwa Amani Baba Mtakatifu Fransisko. Amina
 
Nilivyomuona jana siku ya pasaka, nikajua wazi Papa ni kama anatuaga hivi. Miaka 88 sio ya kuweka kilio, ni miaka ya kisherekea maisha ya mtu na kumuenzi.
Tusherekee maisha ya Papa na utumishi wake hapa Duniani.
 
Yesu kafufuka kutoka wafu, Papa anaungana na wafu.

Substitution.

Alelluya Alelluya.
 
Back
Top Bottom