TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Kafa leo au alishakufa siku nyingi? Tuliambiwa jana papa alishindwa kuhutubia ibada ya pasaka, mara tukaambiwa alijitokeza kidogo na kiti mwendo kumbe ni mfu tangu siku nyingi, walisubiri pasaka ipite watangaze msiba
 
Aje papa wa kiafrika mweusi tii wa kusini mwa jangwa la sahara
 
Maaawe

Shocking!

Kwahiyo ile jana alitupungia kwa mara ya mwisho🥺

😭😭

Jamani eh, kula bata lako, hatujui ya kesho.

R.I.Heaven
 
leo usiku lazima ufe , aga mapema, Pope huwa na nguv za ajabu kwa kashifa hii unayoifanya. Ufe salama rafiki yangu
Wacha imani za kishenzi.Kwani huyo aliyekufa alimkashifu nani?Death is a natural process in humans nature.Wacha imani za kipumbavu.
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.

Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.

======================================

Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.

The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.

He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.

View attachment 3310884

View attachment 3310870

Source: BBC
Rip Pope Francis
 
Kafa leo au alishakufa siku nyingi? Tuliambiwa jana papa alishindwa kuhutubia ibada ya pasaka, mara tukaambiwa alijitokeza kidogo na kiti mwendo kumbe ni mfu tangu siku nyingi, walisubiri pasaka ipite watangaze msiba
Inasemekana alikufa Mwezi wa pili wakaficha
 
Nimependa alivyompa za uso Trump. Dunia haina mwenyewe, binadamu tunahama hama kukicha
 
Hadi jana kwenye misa ya Pasaka aliongelea suala la kusitishwa vita ya Gaza, kabla ya hapo amekuwa akisisitiza hilo mara nyingi sababu ya watoto wengi wanaouliwa na Israel.

Palipo na ukweli na sifa zake tumpe bila kuleta mambo ya udini.
Hizo ni propaganda tu ukweli wakatoliki hawawezi kuwaonea huruma jamii za kiislam
 
Shukrani sana.

Umenipa chanzo cha kuongeza maarifa,nitachimbua zaidi kulifahamu.
Karibu sana, ila kwa sasa kwa wanaona ni kama aibu na wanakanusha sana
Wanajaribu kuifuta kabisa hii mila kwa kusema ni myths
Ila yalikuwepo zama za ujima
 
Back
Top Bottom