TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Ameumaliza mwendo, hata na hivyo mema ya Dunia hii ameyafaidi vilivyo
Kabisa

Kweni alikuw ma anakosa nini?

Kanisa ni tajiri, lina waumini karibu 2/3 ya dunia nzima

Kama mbingu ipo na akaenda huko basi amekula mbele na nyuma

Yaani inshort ni Both Teams To Score
 
Mkaichek hii movie Hawa jamaa Huwa wanafikilia sijui nini
137808.jpg
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.

Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.

======================================

Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.

The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.

He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.

View attachment 3310884

View attachment 3310870

Source: BBC
Ushimen sorry for the loss of your classmate
 
Hivi Ndo uyu papa aliekua anasisitiza waroma wagegedane vinyeo?
 
Kuna watu wamepata bahati ya kuishi kifalme kuanzia duniani mpaka mbinguni duh!
 
Eleza kwa mapana.
Aliyefariki ni jasusi vilevile.
 
Kwamba papa badala afurahie kifo, akakae na kina yesu na MUSSA meza Moja, eti naye anapambania maisha yake ili asife
Apumzike kwa amani mzee.

Kuna kijana mmoja hua anafanya utani mitandaoni anasema mungu anakupa ugonjwa ufe mapema urudi kwake halafu unamzunguka unaenda hospitali.

Inakuja swali, kwa nini viongozi wa dini wakiugua wanakimbilia hospitali wakati wanahubiri kwamba Mbinguni ni pazuri, pana kila kitu, Pombe, wanawake wazuri mabikra 72, misosi mizuri, bustani, hakuna magonjwa wala maumivu yoyote, ni raha mustarehe milele na milele lakini wakiugua hata mafua tu wanakimbilia hospitali, wanaogopa nini kufa wakaende kula raha huko mbinguni? Ama hawaamini wanachokihubiri? Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
 
Back
Top Bottom