Unatumia Anusol Suppository ndio maanaNatumia tadalafil njoo nikushone ili umuenzi aliekua anawabariki kwenye ushoga
Amina nimezipokea kwa niaba yaoPoleni sana wakatoliki wote kwa msiba huu mkubwa, Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe
Zile Anusol Suppository zako umeshazimaliza?Kwakweli papa alikua anazingua anajifanya yupo kati, habariki wala hapingi alikua analeta ukakasi sana...... Alale salama
R.I.PHii ni kutoka BBC sasa hivi
London: Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.
The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.
He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
View attachment 3310884
View attachment 3310870
Hahaha.Jana alioneshwa live kutoka St Peters Basilica square. Uwe unaangalia tv za kimataifa. Achana na TBC, Azam na takataka kama hizo
Hata mimi alikuwa ananiboa.Kwakweli papa alikua anazingua anajifanya yupo kati, habariki wala hapingi alikua analeta ukakasi sana...... Alale salama
Hapana...Jana yenyewe alionekana na kuwaaga waumini kwa kusema pasaka njemaWaliona pasaka ipte kwanza ndio watangaze
Haukumuelewa tu,wenye dhambi hawatengwi wenye dhambi unatakiwa ukae nao karibu ili wakuige wewe yale mazuri uliyo nayo na ndicho alichokuwa anajaribu kukisema ila alikosa lugha sahihi ya kukiambia kizazi hiki kinachotafsiri maneno jinsi kinavyotaka ili kipate maana kinayoitaka.Kwa kweli aende mahali anapostaili . Ni agent wa upinde huyo
Unaambiwa jana alikuwa kanisani! Au ni clone?Bila shaka saizi Papa ajaye atatokea Africa, Au huku mablack hawatakiwi kuwa.
NB:Wameficha sana mpaka leo wameamua kutangaza
Je unajua Pope akifa ni lazima apigwe nyundo ya kichwa mara 3 kuhakikisha amekufa?Bora yeye walikuwa na cha kuwasubirisha mkuu wewe utakuwa na nini cha kuwasubirisha zaidi ya kufukiwa masaa matatu baada ya kuzimia?
Maana sijui kama wote huwa wanakuwa wamekufa kweli.
Apumzike kwa Amani Mtumishi Mwaminifu wa Mungu πππKiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.
Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.
======================================
Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.
The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.
He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
View attachment 3310884
View attachment 3310870
Source: BBC
Akili yako inachaji siku hizi mjoli...Poleni sana wakatoliki wote kwa msiba huu mkubwa, Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe