TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Apumzike kwa amani jamani sasa ni zamu ya Tanzania kutoa papa
 
Sema huyu jamaa ni mrafi wa madaraka kwanini hakumuiga Papa Benedict kuachia gazi pindi Hali ilipokuwa mbaya?
 
Alifight sana asiende mbinguni
 
Sahau hizo ndoto za alinacha
Hapo mpaka wapige kula Vatican sio CCM kwamba mtu anapitishwa tu hivi hivi au anajipitisha mwenyewe kwa lazima mbele ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…