Expedito Mduda
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 542
- 264
Alikuwa padre wa jimbo la Iringa kabla Mafinga jalijawa jimbo. Baada ya Mafinga kuwa jimbo akawa ni padre wa jimbo la Iringa. He is a good man namjua sababu tumesoma seminari Mafinga wote na baadaye tukawa walimu wote Mafinga seminari. Anastahilo sana. He is a humble manAmani kwenu watu wa MUNGU
Jimbo kuu la iringa limepata askofu mpya
Hongera kwake
Sijui alikuwa Padre wa wapi huyu
Wenye kumjua tafdhari
SAYUNI BOY