Papa Francis amteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Iringa

Papa Francis amteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Iringa

Usiwe na mbichwa mgumu kuelewa kama msukuma kashiba michembe mixer masangu makavu.Kanisa Katoliki lina miundo na matumizi yake kipekee.Neno mtumishi mpelekee Masanja na walokole wengine.
Siyo kweli mtumish ni neno ambalo limetoakana na neno mtumwa

Sisi sote ni watumwa yaan watumishi wa KRISTO, uwe msabato au mkatoliki bado wewe ni mtumwa wa kristo

Ndo maana nimekwambia Kuna mtu alikudanganya
 
Weweeee! Kwa Wakatoliki, neno mtumishi linatumika kwa wale madogo (waministrants) wanaosaidia huduma altareni e.g. kugonga kengele, kubeba msalaba kumpelekea padre vikombe, chetezo n.k
Hiyo defn. yako ya eti ni mtumwa wa kristo sio kweli kwani Yesu hakuja kutumikiwa bali kutumika ref.aliwatawadha miguu wanafunzi wake ile Alhamisi.
 
Kwa njia yake yeye pamoja naye na ndanii yake

Wewe Mungu baba Mwenyezi katika umoja wa Roho Mtakatifu unavitia vitu vyote heshima na utukufu ....

Eeh bwana ulikumbuke kanisa lako linalosafiri hapa duniani..... Ulikamilishe katika upendo pamoja na Umkumbuke Baba Mtakatifu wetu , maaskofu, mapadri na maklero wote

KWa wema usikilize Sala za jamaa
Iliyokusanyika mbele yako kwa maombezi ya bikra maria mama Mungu na Mtakatifu Yosefu mchumba pamoja na watakatifu waliokupendeza tangu hapo kale...

Uwakumbuke ndugu zetu waliofariki wakiwa na tumaini la kukutana nawe

Hiki kipande nakipenda sana nakuwa na utulivu mno japo Kuna maneno nimeruka!! sikumbuk yote!
Mkuu anza kupenda pia Maelezo baada ya "Kweli Ni Vyema Na haki......" Kila jumapili yafuatilie kwa Ukaribu na Kisha Uungane na viumbe wote kuimba kwa furaha "Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu Wa Majeshi....."
 
Ibada ile nilikuwa naijua vzr hata hapo nilikuwa napapenda

Na huu wimbo wa utukufu kwa Mungu juu mbingunii na amani duniani
 
Waw! Hapo mm nakuwaga bize nakiandaa (naki-seti)kinanda U60 tayari kwa nyimbo za komunio. Inapendeza sana.
Kumbe unacheza na piano keys!!

Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu

Asema bwana

Hu ukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake!

Njoooni enyi wenye njaa

Njoooni enyi wenye kiu

Njoooni kwangu niwashibishe

Aulaye mwili wangu......
 
Weweeee! Kwa Wakatoliki, neno mtumishi linatumika kwa wale madogo (waministrants) wanaosaidia huduma altareni e.g. kugonga kengele, kubeba msalaba kumpelekea padre vikombe, chetezo n.k
Hiyo defn. yako ya eti ni mtumwa wa kristo sio kweli kwani Yesu hakuja kutumikiwa bali kutumika ref.aliwatawadha miguu wanafunzi wake ile Alhamisi.
Sahihi
 
Mkuu,ktk Kanisa Katoliki utakaposema mtumishi moja kwa moja watu wataelewa unamaanisha wale watumishi wa altareni na siyo padre au askofu.

Padre au Askofu anatambulika kama kuhani,sijui kila kitu nipo tayari kuelimishwa.
Mtumish ni kwa ujumla yaan ufuas wa YESU KRISTO

Hizo padre, askofu, mtawa , kateksita, mchungaji ni vyeo tu lakini wote ni watumishi
 
Mtumish ni kwa ujumla yaan ufuas wa YESU KRISTO

Hizo padre, askofu, mtawa , kateksita, mchungaji ni vyeo tu lakini wote ni watumishi
Hayo yote sikatai but protocol hauwezi ukamsimamisha Askofu let's say Ruwaichi kwa kumwambia “mtumishi Ruwaichi nakuomba usimame” lazima utatia neno “Mtumishi wa Bwana Askofu Ruwaichi.....” hapo ndiyo italeta maana.

Neno mtumishi haliwezi kutumika kavu kavu kumtambua padre au Askofu that's why ikawekwa ujumla waitwe Makuhani
 
Back
Top Bottom