Papa Francis amteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Iringa

Amani kwenu watu wa MUNGU

Jimbo kuu la iringa limepata askofu mpya

Hongera kwake

Sijui alikuwa Padre wa wapi huyu

Wenye kumjua tafdhari

SAYUNI BOY
Alikuwa padre wa jimbo la Iringa kabla Mafinga jalijawa jimbo. Baada ya Mafinga kuwa jimbo akawa ni padre wa jimbo la Iringa. He is a good man namjua sababu tumesoma seminari Mafinga wote na baadaye tukawa walimu wote Mafinga seminari. Anastahilo sana. He is a humble man
 
baada ya Jimbo la Iringa kugawanywa na kupatikana Jimbo la mafinga,Pd Romanus akawa wa jimbo la Mafinga na mpaka anateuliwa kuwa askofu alikuwa vicar wa jimbo la mafinga
 
Samahani wadau, huyo papa ndio alisema mashoga wabarikiwe?
 
Hongera kwa Askofu Mteule, mtaalam wa wanyama pori!
Mbona ni fani ya Sayansi ya Wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Kerala nchini India.
Sayansi ya wanyama ni Animal Science
Mtaalam wa wanyama pori ni Wildlife management
Hebu tuwekee sawa kwenye hili. Kipi ni kipi?? kwa huyo mwamba.
 
Mi pia nakipenda sana, huwa natulia kusikiliza jinsi padri anavyotiririka, kinasomwa wakati wa kujiandaa kupokea sakramenti ya komunio
 
Kuna yule Askofu Paul Luzoka kama sijakosea jina, alikuwa Kigoma kisha Tabora, sijui kwasasa yuko wapi namkubali sana, alinibatiza na badae akanipa kipaimara, alikuwa mtu wa maendeleo sana, mpaka leo nakumbuka kale kakofi kake ka kipaimara badae nikaja kuwa mtumikiaji na nikawa natumikia kwenye misa zake
 
Nanukuu: "Hiki kipande nakipenda sana nakuwa na utulivu mno japo Kuna maneno nimeruka!! sikumbuk yote!"
Sio tu umeruka maneno bali pia umebadilisha baadhi ya maneno e.g.
1........Mt.Yosefu mchumba .... Hapana. Ni Yosefu mume wake huyo bikira....
 
Yap! una kumbukumbu nzuri. Je, uliishia hapo kuwa mministranti au uliendelea Seminari etc.?
 
Nanukuu: "Hiki kipande nakipenda sana nakuwa na utulivu mno japo Kuna maneno nimeruka!! sikumbuk yote!"
Sio tu umeruka maneno bali pia umebadilisha baadhi ya maneno e.g.
1........Mt.Yosefu mchumba .... Hapana. Ni Yosefu mume wake huyo bikira....
Yep yeh nashukuru kwa masahihisho nikiwa mwenyw nakiimba kama nafanya Ibada yaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…