Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Unafahamu maudhui ya kitabu cha Ufunuo...Unafahamu walengwa hasa wa kile Kitabu...? Unafahamu kiliandikwa nyakati zipi...?naamini ukisoma Ufunuo wa Yohana kwa msaada wa Roho Mtakatifu utagundua kuwa kauli uliyotoa ni mbaya sana.. Mwenyezi Mungu akufunulie neno lake takatifu, Amen
Hivi huko makanisani kwenu mnaendaga kufundishwa ujinga au...?