Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

naamini ukisoma Ufunuo wa Yohana kwa msaada wa Roho Mtakatifu utagundua kuwa kauli uliyotoa ni mbaya sana.. Mwenyezi Mungu akufunulie neno lake takatifu, Amen
Unafahamu maudhui ya kitabu cha Ufunuo...Unafahamu walengwa hasa wa kile Kitabu...? Unafahamu kiliandikwa nyakati zipi...?

Hivi huko makanisani kwenu mnaendaga kufundishwa ujinga au...?
 
Imeandikwa, "..watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.."
Sawa kabisa Hosea 4:6 anatuambia..

Unajua mkuu Kibibi Ellen G White ilikuwa ni laana iliyowakosesha maarifa Wasabato wengi.... Hii ilikuwa ni laana nyingine katika dunia...Unamfahamu au ulishawahi msikia...?
 
hivi ndugu yangu ni lini utaukimbia ukweli? nakushauri usome Biblia Takatifu na umwombe Mungu akufunue akili kabla hujachelewa maana huhitaji kuweka kidole kwenye moto ukibisha kuwa hauunguzi
Ni Biblia ipi hiyo unayoizungumzia au ni zile Manuscrpit za Kibibi Ellen G White..? Maana zile manuscript ndo zimejaa mambo ya ajabu yaliyopotosha mana halisi ya vitabu vya Ufunuo vya Yohana na Daniel...
 
Ufunuo wa Yohana waelezea kila kitu. Muombe Mwenyezi Mungu kabla hujakisoma ili akufunue akili haya yote yapo humo
Labda ni Ufunuo mwinngine....Ila siyo ile Apokalpse ya Yohane ninayoifahamu kilichoandikwa yapata mwaka 54BK hadi 68.... Mkuu labda ni kitabu kingine unamaanisha...
 
He will deceive many and having many followers in the world.he claims to take a position of GOD in earth!..he has a title name VICARIOUS FILII DEI means In place of GOD.
He has no followers but christ has. Baba mtakatifu ana chukua nafasi ya Petro mtume. So ni kiongozi mkubwa katika kanisa katoliki ila si Mungu. Wakatoliki ni wafuasi wa kristu. Mama Maria akuombee upate kuelewa imani ya kikristu ndani ya kanisa katoliki.
 

Hapo kwenye Red
Kanisa la kisabato pamoja na yule kahaba wa marekani aliyepatwa na ugonjwa wa akili Ellen g Whitte wanafahamu...au ulikuwa hujui...?

Hapo kwenye BLUE
Hapana njia pekee kukamilika kiimani ni Kupitia kwa Yesu Kristo Pekee...Biblia ni Msaada kufanikisha ilo pamoja na mapokeo mengine

Hapo kwenye zambarau..
OK! Nilikuwa nataka kujua najadiliana na nani...Ohhh! Kumbe wewe ni mfuasi wa Bi Ellena White...? sasa kwa taarifa yako hivyo vitabu vyake karibia vyote nimevisoma na bado naendelea kuvisoma...
 
Hivi mkuu, naomba nikuulize swali, Hivi unamfahamu William Miller pamoja na Millerite Group...? Maana mambo mengine kazima ujue chanzo,, Nijibu hapo

I AM AFRICAN UNBROKEN SPIRIT. I DON'T FALL UNDER ANY LOW LEVEL LIFE OF CAVE DWELLERS A.K.A THE BEAST. NAFAHAMU SANA JINSI YA MADUDU YANAYOFANYWA NA WATU WA ULIMWENGU HUU HADAA. SIHITAJI KUINTERTAIN UPUMBAVU UNAOITWA UCHUNGAJI, DINI, NA WASHIRIKA WA MAENDELEO AMA WAFADHILI.

SINA IMPURITIES HIZO. AM FREE AND AND CLEAN. I JUST LET MY WORKS TO BE SEEN. MY AFRICAN LAND IS THE LAND OF GODS. PURE LAND OF LIFE AND DESTINY. THE HOLY LAND OF ALL LANDS. SIHITAJI MISUMARI KICHWANI MWANGU.
 
Ehhh! Sasa mbona hujajibu nilichokuuliza....?? Huko shuleni mlienda kusomea ujinga...?
 
Ohhh! hawa Wasabato wako wengi....

William Miller pamoja na kundi lake la kina Ellen G White walitenda kosa kubwa sana hapa Duniani..

anyway Wasabato ni moja ya CULT zilizopata kuenea duniania hasa afrika..Wenza Jehova Witness bado wana jikongongoja..
 
Na bado mtaona mengi zaidi ya hayo. ,,, siku mnakuja kuugundua ukwel mshachelewa,,,,,
 
Wewe unayejielewa na mwenye kujua, eleza unachojua kwa kuambatanisha references!
Hebu ngoja kwanza.... Unamfahamu William Miller, Joseph Bates, Hiram Edson...?? Umeshawahi kuwasikia hawa watu...


Maana ili tuende pamoja tunatakiwa tuwekane sawa kwenye historia ya hao watu..
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…