Tatizo lako ni kubwa sana kwani linahusiana na ubongo. Ukishatambua kuwa hujui na unahitaji kuelimushwa,tatizo lako litapata tiba.Hivi kwanini Yule muhuni Ellen G White aliua watu kule Marekani 1844(greatdissapiontment)... Huyu shetani Ellen G White alitumia vitabu vya Ufunuo na Daniel kupotosha watu na kusababisha mauaji makubwa...Kama ni Msabato utanielewa..
Hahahahaaa.......natamani Magufuli angekua kiongozi wa dunia...wangenyooka tuu...ujinga usingekuwepo.Kuna siku nilisha wahi kuwaza huyu Papo Magufuli amtimue kwenye hicho kitengo!!
Hata technolojia ikue vipi bado Idea ya kupigwa chapa kama mnyama hainiingii akilini....Mungu mmojaNi Wasabato..
Coz aliona hawezi kuipotosha jamii...coz ya external forces kama hizoNanii wakunambia kwa nini papa Benedict wa kumi na sita alijiuzuru kwa kigezo cha kusingizia umri ndo akachaguliwa huyu francins
Kuelimishwa kitu gani..?Tatizo lako ni kubwa sana kwani linahusiana na ubongo. Ukishatambua kuwa hujui na unahitaji kuelimushwa,tatizo lako litapata tiba.
Huko kwenye bold...Nafikiri wewe ndo ume-panicJamani....wote mliopanic na kutokwa na mabovu kama sabuni ya jamaa... take chill pills...tafadhali. Kuna maisha baada ya huu mjadala...discuss responsibly......
Hoja angali mleta hoja ametuletea porojo za mtaani...Hakuna kitu kinafungwa hapa....Huu mjadala ungefungwa tu maana hamna hoja yoyote inayoletwa na wanao defend.
Mkuu, umepewa keyword hapo ya ku Google bado unauliza chanzo!!!!Mkuu tunahitaji source au tupe link ili to prov sasa tutaaminije maneno yako matupu kama umetunga who knows
Hapo kwenye Red
Kanisa la kisabato pamoja na yule kahaba wa marekani aliyepatwa na ugonjwa wa akili Ellen g Whitte wanafahamu...au ulikuwa hujui...?
Hapo kwenye BLUE
Hapana njia pekee kukamilika kiimani ni Kupitia kwa Yesu Kristo Pekee...Biblia ni Msaada kufanikisha ilo pamoja na mapokeo mengine
Hapo kwenye zambarau..
OK! Nilikuwa nataka kujua najadiliana na nani...Ohhh! Kumbe wewe ni mfuasi wa Bi Ellena White...? sasa kwa taarifa yako hivyo vitabu vyake karibia vyote nimevisoma na bado naendelea kuvisoma...
unayofahamu wewe ikoje ndugu?Labda ni Ufunuo mwinngine....Ila siyo ile Apokalpse ya Yohane ninayoifahamu kilichoandikwa yapata mwaka 54BK hadi 68.... Mkuu labda ni kitabu kingine unamaanisha...
Yule mama alikuwa na magonjwa ya akili ndio maana alipata maono ya ajabu kusema Yesu hakuja duniani ila alikosea njia na kwenda patakatifu pa patakatifu..on paragraph one sielewi na wala sijui unachokisema kama ni ukweli au uongo
paragraph two is noted.
paragraph three kama suala la whether ni mfuasi au si mfuasi sio muhimu. ni sawa na wewe unavyosema "umevisoma vyote" na "unaendelea kuvisoma" kusoma vitabu vyake hakukufanyi kuwa au kutokuwa mfuasi bali ni udadisi na sidhani kama mwandishi aliandika akilenga kuwa na "wafuasi" kama unavyosema.
lastly, nafikiri kumuita mtu "kahaba" au "mgonjwa wa akili" sio jambo la busara hata kama unafanya criticism dhidi ya uandishi wake.
Ni Biblia ipi hiyo unayoizungumzia au ni zile Manuscrpit za Kibibi Ellen G White..? Maana zile manuscript ndo zimejaa mambo ya ajabu yaliyopotosha mana halisi ya vitabu vya Ufunuo vya Yohana na Daniel...
Mnawasingizia bure wasabato, wao kamwe hawajawahi kuongelea habari za computer chip kama ni alama ya mnyama labda huwaelewi vizuri bali unasikiliza uzushi wa watu na propaganda. Hoja za wasabato zimejikita katika Biblia Takatifu.Mnyama ameelezewa vema katika ufunuo 13 na 14 kuwa ni mamlaka inayojifanya kuchukua nafasi ya kuabudiwa kama Mungu. Tazama Ufunuo 13:4-10. Alama ya Mnyama na mafundisho ya uongo na wote wanaofuata mafundisho hayo hupokea alama hiyo( Hakuna kuwekwa alama phyisically). Alama hiyo ni tarakimu ya kibinadamu, Ufunuo 13:18 " Hapa ndipo penye hekima, yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na Hesabu yake ni mia sita sitini na sita."Hizi habari za kipuuzi za chip maraa nyingi huwa tunazisikia kwa Wasabato.....
Wewe ni Msabato..?
Apokalpse ya Yohane ninayoifahamu mimi hsiongelei eti Papa ni mpinga Kristo, haiongelei 666 inamuhusu Pope wala mambo ....Sasa sijui hii ya kwenu nyie munayofahamu wewe ikoje ndugu?
Nimekuuliza wewe ni Msabato. ?Mnawasingizia bure wasabato, wao kamwe hawajawahi kuongelea habari za computer chip kama ni alama ya mnyama labda huwaelewi vizuri bali unasikiliza uzushi wa watu na propaganda. Hoja za wasabato zimejikita katika Biblia Takatifu.Mnyama ameelezewa vema katika ufunuo 13 na 14 kuwa ni mamlaka inayojifanya kuchukua nafasi ya kuabudiwa kama Mungu. Tazama Ufunuo 13:4-10. Alama ya Mnyama na mafundisho ya uongo na wote wanaofuata mafundisho hayo hupokea alama hiyo( Hakuna kuwekwa alama phyisically). Alama hiyo ni tarakimu ya kibinadamu, Ufunuo 13:18 " Hapa ndipo penye hekima, yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na Hesabu yake ni mia sita sitini na sita."
Jambo hili liko wazi kabisa, jiulize ni binadamu gani mwenye alama ya 666? bila shaka ni VICARIUS FILII DEI, neno linalotumiwa na papa kama "Vicar of the Son of God" yaani mwakilishi wa mwana wa Mungu( Kwa hesabu za kirumi ukihesabu unapata 666 exactly! Hakuna aliyepinga hili kutoka Roma au mmlaka yenyewe ya kipapa). Wanaobisha hawana sababu za msingi bali husema hiyo alama ni ya mfalme NERO ( hakuna ushahidi wa Biblia, hoja hii haina mashiko).
Mambo ya computer chip ni kwa watu wasiotaka kusoma Biblia bali kufuata hadithi za uongo, na hilo ndilo lengo la shetani kuwatoa watu wa Mungu katika msitari wa ukweli ili washindwe kujiandaa kupokea Muhuri wa Mungu (Mafundisho sahihi ya Mungu) Ufuno 7:2-4. Asomaye afahamu! Mathayo 24:15.
Wewe ni Msabato..mkuu kwa kuangalia jinsi unavyotoa michango yako humu sidhani kama utakuwa hujui tofauti kati ya manuscript na Biblia...sizungumzii manuscript, nazungumzia The Holy Bible Union Version
Mimi ni Muandventista Msabato. Umeelewa nilichoandika lakini? mambo ya chip sijui nini, ni uzushi wa shetani hayahusiani na alama halisi ya myama ambayo ni mafundisho ya uongo. Be careful!Apokalpse ya Yohane ninayoifahamu mimi hsiongelei eti Papa ni mpinga Kristo, haiongelei 666 inamuhusu Pope wala mambo ....Sasa sijui hii ya kwenu nyie m
Nimekuuliza wewe ni Msabato. ?
inaongeleaje? japo kwa ufupi mkuuApokalpse ya Yohane ninayoifahamu mimi hsiongelei eti Papa ni mpinga Kristo, haiongelei 666 inamuhusu Pope wala mambo ....Sasa sijui hii ya kwenu nyie m