Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Papa yuko sahihi kabisa. Alama ya mnyama sio computer chip au kifaa chochote cha kielectroniki. Mnyama anaelezwa wazi kabisa katika ufunuo 13 na 14 kuwa ni mamlaka ya kibinadamu lakini hujifanya kuwa Mungu na hii mammlaka ilijaribu kulazimisha dunia nzima kuisujudia, na tunapolelekea mwisho wa dunia nguvu hizi zitatarejea kwa nguvu kubwa. Mamlaka hii ina alama yake ambayo ni mafundisho yaliyo kinyume cha Biblia. Wanaomtii huyu mnyama watapokea "alama ya mnyama" katika vipaji vya nyuso zao na katika mikono yao. Hii ni lugha ya kibiblia ikimaanisha katika akili zao na katika utendaji wao watakuwa wamekubaliana na maagizo ya mnyama huyu. Kama ilivyo kwa watu wa Mungu watakao kuwa watiifu Ufunuo 14:12, watapokea Mhuri wa Mungu Ufunuo 7:1-8. Hakuna kutiwa muhuri "Physically" bali ni lugha ya kibiblia ikionyesha hao watu watakuwa wanaafikiana na maagizo ya Mungu katika akili zao na hao ndio watakaookolewa.

Jiulize tu, eti Mungu aje kukuangamiza kisa uliwekwa computer chip kwenye mkono? hapana! haya ni mafundisho ya uongo na lengo la shetani ni kupotosha watu washindwe kumtambua mnyama halisi waaminishwe vitu vya uongo na hatimaye waangamie pamoja nae.

Alama ya mnyama ni maagizo ya mwanadamu anaejidai ana mamalaka kama Mungu "Makufuru". Hii mamlaka hivi punde itadhihirishwa kwa wazi kabisa ili watu wachague wa kumtumikia. Mhuri wa Mungu upo katika kutii maagizo ya Mungu, hakuna computer chip wala nini! jihadharini na uongo wa shetani.
Mungu awabariki mnaposoma Biblia na kitabu cha ufunuo.
 
Hivi kwanini Yule muhuni Ellen G White aliua watu kule Marekani 1844(greatdissapiontment)...? Huyu shetani Ellen G White alitumia vitabu vya Ufunuo na Daniel kupotosha watu na kusababisha mauaji makubwa...Kama ni Msabato utanielewa..
 
Hivi kwanini Yule muhuni Ellen G White aliua watu kule Marekani 1844(greatdissapiontment)... Huyu shetani Ellen G White alitumia vitabu vya Ufunuo na Daniel kupotosha watu na kusababisha mauaji makubwa...Kama ni Msabato utanielewa..
 
Ni upuuzi kuukimbia ukweli. Face it and make the appropriate decision.Mbona nimetoa link. Go to that one link na utashangaa how your eyes will be opened. But be courageous because the foundation of your faith will be shaken.
So siku mkiambiwa Internet ni alama ya mpinga kristo mtaa cha kutumia au?
 
Atakuwa msabato, sijui kala maharage ya wapi?
 
"mambo makubwa na ya kushangaza yatatokea kanisa katoliki katika siku za karibuni...."

On which mandate are you speaking that?
By the way!! Are you pope's lady in minskirt for file fetching? Maggot!!
 
Kuna siku nilisha wahi kuwaza huyu Papo Magufuli amtimue kwenye hicho kitengo!!

Akachukie nafasi ya mkurugenzi wa kagera au sio?

Anyway mleta uzi katuletea watoto wa mjini wanauita ubuyu, habari yake ni uzushi
 
Mbona hujaleta zile nyingi ambazo zimesema wazi kwamba ametoa hiyo statement. Ulitegemea nini, wasikanushe. Kukanusha ni kitu ambacho kilitegemewa.
 
"mambo makubwa na ya kushangaza yatatokea kanisa katoliki katika siku za karibuni...."

On which mandate are you speaking that?
By the way!! Are you pope's lady in minskirt for file fetching? Maggot!!
Povu jiingi.Pole.
 
Mbona hujaleta zile nyingi ambazo zimesema wazi kwamba ametoa hiyo statement. Ulitegemea nini, wasikanushe. Kukanusha ni kitu ambacho kilitegemewa.
Hata hiyo ya kukanusha ni wapuuzi puuzi kama wewe wametengeneza makanusho....Kanisa(Pope) haliwezi poteza muda muda wake na mambo ya kijinga ya blah blah za chip....

Subiri kanisa likujengee shule upeleke wanao wakapate Elim bora wasiwe mbumbumbu kama wewe..
 
Watoto wa mbumbu watasomaje?
 
Catholic church is the strongest and oldest institution, kwa changamoto ilopitia ingekuwa imakufa but the Holy spirit is holding as strong as always... Wengine mmegeuza Google ndo Bible....
 
duh!! biblia anasema myaonapo hayo yote changamkeni maana ukombozi wenu umekaribia.
Maana yake tunavyoona tuliyoyasoma Kwenye biblia yanatoke tujue ule mwisho umekaribia. "Ee Mungu nisaidie nikupendeze wewe nisiachwe Kwenye unyakuo wa watakatifu
 
Mpinga kristo yupoje? Na huyo kristo yukoje? Na anapingwaje? Na huyo kristo lake ni lipi hadi apingwe? Au mnalazimisha ugomvi kwa vitu vilivyoadithiwa kwenye hadithi? Kwanini msiishi maisha ya kikale kale ili msiwe wapinga kristo!

Acheni ligi ndogo
hahaha mkuu Duduwasha umeniigia swali langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…