Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kanisa Katoliki.. Kwani hujui hiloBiblia ni Mali ya kanisa. Kanisa gani? Nisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisa Katoliki.. Kwani hujui hiloBiblia ni Mali ya kanisa. Kanisa gani? Nisaidie
Hilo sijui. Kwanini katekisimu inatofautiana na biblia?Kanisa Katoliki.. Kwani hujui hilo
Kwasababu ni Katekisimu na Si Biblia...Labda hujui maana ya KatekisimuHilo sijui. Kwanini katekisimu inatofautiana na biblia?
Hivi kwanini Yule muhuni Ellen G White aliua watu kule Marekani 1844(greatdissapiontment)...? Huyu shetani Ellen G White alitumia vitabu vya Ufunuo na Daniel kupotosha watu na kusababisha mauaji makubwa...Kama ni Msabato utanielewa..Papa yuko sahihi kabisa. Alama ya mnyama sio computer chip au kifaa chochote cha kielectroniki. Mnyama anaelezwa wazi kabisa katika ufunuo 13 na 14 kuwa ni mamlaka ya kibinadamu lakini hujifanya kuwa Mungu na hii mammlaka ilijaribu kulazimisha dunia nzima kuisujudia, na tunapolelekea mwisho wa dunia nguvu hizi zitatarejea kwa nguvu kubwa. Mamlaka hii ina alama yake ambayo ni mafundisho yaliyo kinyume cha Biblia. Wanaomtii huyu mnyama watapokea "alama ya mnyama" katika vipaji vya nyuso zao na katika mikono yao. Hii ni lugha ya kibiblia ikimaanisha katika akili zao na katika utendaji wao watakuwa wamekubaliana na maagizo ya mnyama huyu. Kama ilivyo kwa watu wa Mungu watakao kuwa watiifu Ufunuo 14:12, watapokea Mhuri wa Mungu Ufunuo 7:1-8. Hakuna kutiwa muhuri "Physically" bali ni lugha ya kibiblia ikionyesha hao watu watakuwa wanaafikiana na maagizo ya Mungu katika akili zao na hao ndio watakaookolewa.
Jiulize tu, eti Mungu aje kukuangamiza kisa uliwekwa computer chip kwenye mkono? hapana! haya ni mafundisho ya uongo na lengo la shetani ni kupotosha watu washindwe kumtambua mnyama halisi waaminishwe vitu vya uongo na hatimaye waangamie pamoja nae.
Alama ya mnyama ni maagizo ya mwanadamu anaejidai ana mamalaka kama Mungu "Makufuru". Hii mamlaka hivi punde itadhihirishwa kwa wazi kabisa ili watu wachague wa kumtumikia. Mhuri wa Mungu upo katika kutii maagizo ya Mungu, hakuna computer chip wala nini! jihadharini na uongo wa shetani.
Mungu awabariki mnaposoma Biblia na kitabu cha ufunuo.
Hivi kwanini Yule muhuni Ellen G White aliua watu kule Marekani 1844(greatdissapiontment)... Huyu shetani Ellen G White alitumia vitabu vya Ufunuo na Daniel kupotosha watu na kusababisha mauaji makubwa...Kama ni Msabato utanielewa..Papa yuko sahihi kabisa. Alama ya mnyama sio computer chip au kifaa chochote cha kielectroniki. Mnyama anaelezwa wazi kabisa katika ufunuo 13 na 14 kuwa ni mamlaka ya kibinadamu lakini hujifanya kuwa Mungu na hii mammlaka ilijaribu kulazimisha dunia nzima kuisujudia, na tunapolelekea mwisho wa dunia nguvu hizi zitatarejea kwa nguvu kubwa. Mamlaka hii ina alama yake ambayo ni mafundisho yaliyo kinyume cha Biblia. Wanaomtii huyu mnyama watapokea "alama ya mnyama" katika vipaji vya nyuso zao na katika mikono yao. Hii ni lugha ya kibiblia ikimaanisha katika akili zao na katika utendaji wao watakuwa wamekubaliana na maagizo ya mnyama huyu. Kama ilivyo kwa watu wa Mungu watakao kuwa watiifu Ufunuo 14:12, watapokea Mhuri wa Mungu Ufunuo 7:1-8. Hakuna kutiwa muhuri "Physically" bali ni lugha ya kibiblia ikionyesha hao watu watakuwa wanaafikiana na maagizo ya Mungu katika akili zao na hao ndio watakaookolewa.
Jiulize tu, eti Mungu aje kukuangamiza kisa uliwekwa computer chip kwenye mkono? hapana! haya ni mafundisho ya uongo na lengo la shetani ni kupotosha watu washindwe kumtambua mnyama halisi waaminishwe vitu vya uongo na hatimaye waangamie pamoja nae.
Alama ya mnyama ni maagizo ya mwanadamu anaejidai ana mamalaka kama Mungu "Makufuru". Hii mamlaka hivi punde itadhihirishwa kwa wazi kabisa ili watu wachague wa kumtumikia. Mhuri wa Mungu upo katika kutii maagizo ya Mungu, hakuna computer chip wala nini! jihadharini na uongo wa shetani.
Mungu awabariki mnaposoma Biblia na kitabu cha ufunuo.
So siku mkiambiwa Internet ni alama ya mpinga kristo mtaa cha kutumia au?Ni upuuzi kuukimbia ukweli. Face it and make the appropriate decision.Mbona nimetoa link. Go to that one link na utashangaa how your eyes will be opened. But be courageous because the foundation of your faith will be shaken.
Atakuwa msabato, sijui kala maharage ya wapi?Ukweli upi ndugu..? Porojo za mitandaoni ambao kila mtu anaweza andika...??
Hebu nikuulize ni lini alisema hayo? Alimsapoti mtu gani..? Nani alikwambia micro-chip ni alama ya mpinga Kristo ? Hii umetolea wapi..?
Halafu mbona kitabu cha apocylpse cha Yohana hakiongelei mambo hayo..? Huu upuuzi umeutolea wapi..??
Tatu wewe ni dhehebu gani..?
"mambo makubwa na ya kushangaza yatatokea kanisa katoliki katika siku za karibuni...."Hakuna sababu ya kuhamaki. Kwanza ungekuwa na busara ungenishukuru. Mimi sipati faida yeyote kuleta taarifa hii, I am just helping you to make an imformed decision. Hata hivyo kama unataka kupata taarifa kamili
Google"Pope Francis goes public in support of the RFID implantation. " Kwanza taarifa hii is just a tip in the iceberg, mambo makubwa zaidi na ya kushangaza yatatokea katika kanisa la Katoliki katika siku za hivi karibuni!
Kuna siku nilisha wahi kuwaza huyu Papo Magufuli amtimue kwenye hicho kitengo!!
Hii aina tofauti na yale mauaji makubwa yaliyotokea marekani baada ya William Miller kutabiri ujuio wa Yesu..(Great Diaappointment)... Ila huyu bwana alikija kusafishwa ni Kahaba mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa akili Hellen G White....Ilikuwa ni mwaka 1844
Ni maswali ya msingi....Povu jiingi.Pole.
Hata hiyo ya kukanusha ni wapuuzi puuzi kama wewe wametengeneza makanusho....Kanisa(Pope) haliwezi poteza muda muda wake na mambo ya kijinga ya blah blah za chip....Mbona hujaleta zile nyingi ambazo zimesema wazi kwamba ametoa hiyo statement. Ulitegemea nini, wasikanushe. Kukanusha ni kitu ambacho kilitegemewa.
Watoto wa mbumbu watasomaje?Hata hiyo ya kukanusha ni wapuuzi puuzi kama wewe wametengeneza makanusho....Kanisa(Pope) haliwezi poteza muda muda wake na mambo ya kijinga ya blah blah za chip....
Subiri kanisa likujengee shule upeleke wanao wakapate Elim bora wasiwe mbumbumbu kama wewe..
hahaha mkuu Duduwasha umeniigia swali languMpinga kristo yupoje? Na huyo kristo yukoje? Na anapingwaje? Na huyo kristo lake ni lipi hadi apingwe? Au mnalazimisha ugomvi kwa vitu vilivyoadithiwa kwenye hadithi? Kwanini msiishi maisha ya kikale kale ili msiwe wapinga kristo!
Acheni ligi ndogo