Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,957
- 6,221
Google ni ya shetani kwanini uitumie...Sio hovyo, ni ukweli. Ninakusaidia to make an imformed decision.Google"Pope Francis goes public in suppport of RFID implantation. "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Google ni ya shetani kwanini uitumie...Sio hovyo, ni ukweli. Ninakusaidia to make an imformed decision.Google"Pope Francis goes public in suppport of RFID implantation. "
ww jamaa ni dhehebu gan inaonekana unaijua vizur sabato but very Nice kwaiyo unaipinga dhehebu la kisabatoMleta mada ni Msabato. Wao ndiyo hujifanya kuwa wanafahamu mambo ya unabii sana na ni wafafanuzi wakubwa wa vitabu vya Ufunuo na Daniel. Kanisa zima lilianzishwa kutokana na vuguvugu la kutabiri kurejea kwa Yesu kule Marekani. Baada ya utabiri huo kushindikana na Yesu kutorejea hasa mwaka 1844, walikokotoa mahesabu ya kitabu cha Daniel upya wakatabiri tena wakashindwa. Tangu hapo Kanisa hili halijaachana na mambo ya unabii, kutabiri tabiri na conspiracy theories. Kila tukio jipya liwe natural au la hupitishwa katika chekecho la unabii; na unabii wa vitabu vya Daniel na Ufunuo ndiyo central theme.
Papa ni mtu wa muhimu sana kwa Waadventista Wasabato. Wanaamini kuwa Pope ndiye mpinga Kristo na mmiliki wa ile namba tata 666 na kwamba siku za mwisho kanisa katoliki litarudia hadhi yake liliyokuwa nayo hapo zamani wakati ule likitawala dunia na kuwapitishia hukumu za kifo akina Galileo Galilei. Wanaamini kuwa wao pekee ndiyo washika amri sahihi za Mungu na ndiyo pekee watakaokwenda mbinguni. Na wale wahafidhina hawali nyama, kunywa kahawa au chai, samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato na sheria nyingine za Kumbukumbu la Torati hasa zinazohusu siku ya Sabato. Siku ya Sabato hawaruhusiwi hata kupika! Kwa hiyo wokovu unafungamanishwa na sheria hizi za Musa jambo ambalo linapingwa na Wakristo wengi (Damu ya Yesu ndiyo ilimaliza kila kitu msalabani na mtu hataikosa mbingu eti tu kwa vila alikula samaki asiye na magamba!)
Wanatheolojia wengi na wachambuzi wa Biblia huwachukulia Wasabato kama aina mojawapo ya cult za Kikristo zilizofanikiwa sana. Badala ya kuamini Biblia pekee, wanaamini pia maandishi mengi (karibia vitabu 600) vya mama mmoja Mmarekani aitwaye Ellen G. White. Huyu wanamtambua kama nabii wao na baadhi ya vitabu vyake kama Pambano Kuu (The Great Controversy) vina hadhi kubwa sana kanisani. Pia wanaamini kuwa Yesu hakumaliza kazi ya kutukomboa msalabani bali kuanzia mwaka 1884 aliingia Patakatifu pa Patakatifu (Holly of Hollies) huko mbinguni ili kuendelea kututetea mbele ya Mungu Baba kuhusu dhambi zetu tunazoendelea kuzitenda hapa duniani.
Ova!
Sasa kama Papa anaamini katika hizi micro chip kwa nini wakanushe? Si wangtangaza had I jwenye vyombo vyao rasmi kuwa ni tamko la Papa? We hushangai kwa nini wanasema ni uzushi? Na kwa nini hutaki kuamini vyanzo rasmi vya taarifa za kanisaa unakaa kuamini taarifa zako za mitandao ya kuokotezaa? Halafu unataka kila mtu aamini unachoamini wewe ambacho kimetoka katika sehemu isioaminika. Tukikuita mpotoshaji tutakuwa tumekosea?Mbona hujaleta zile nyingi ambazo zimesema wazi kwamba ametoa hiyo statement. Ulitegemea nini, wasikanushe. Kukanusha ni kitu ambacho kilitegemewa.
Nimekuulliza swali , Freemason wanakulipa dollar ngapi mbona husemi?Pia nimekuambia u-google "the secret oath of the Jesuits, " mbona hujaleta
mrejesho?
Hii mada ni muhadhara pasee...lakini kwa kuwa haujahusisha uislamu ndio maana mods hawajafuta uzi huu....
kuna wa nne na wa mwisho waliyemuita nabii Bi Ellen G. WhiteWilliam Miller, Joseph Bates na Hiram Edson..
Iluminat ikianza mwaka 1700Kutenganisha kanisa katoliki na illuminat ni sawa na kutenganisha mapacha walioungana moyo (wanao-share moyo mmoja).
Najua unajua Rais wa Marekani mkatolik nin kilimkuta!!Kutenganisha kanisa katoliki na illuminat ni sawa na kutenganisha mapacha walioungana moyo (wanao-share moyo mmoja).
Thread za ngono ndo size yenuKwanini JF inaabishwa na thread za kipumbav namna hii..
Jf si ya kipumbavu kama wewe !! tuseme mara ngapi kuhusu link !!
peleka huu upupu wako fb
Roho mtakatifu anakaa wapi?naamini ukisoma Ufunuo wa Yohana kwa msaada wa Roho Mtakatifu utagundua kuwa kauli uliyotoa ni mbaya sana.. Mwenyezi Mungu akufunulie neno lake takatifu, Amen
Mpinga kristo yupoje? Na huyo kristo yukoje? Na anapingwaje? Na huyo kristo lake ni lipi hadi apingwe? Au mnalazimisha ugomvi kwa vitu vilivyoadithiwa kwenye hadithi? Kwanini msiishi maisha ya kikale kale ili msiwe wapinga kristo!
Acheni ligi ndogo