Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Hii mada umeiweka kiujanjaujanja tu lakini kimsingi umeanzisha muhadhara wa dini[emoji4] [emoji4]
 
unajua aya mambo yapo kwenye biblia hasa kitabu cha ufunuo kama mtoa Uzi alivyo toa mfano wa ufunuo kiukwel biblia ukisoma ufunuo wa yohana akiwa katika kisiwa cha patmo alifunuliwa na mungu mambo ambayo ayana budi kutokea siku za uson kama ayo
 
Mleta mada ni Msabato. Wao ndiyo hujifanya kuwa wanafahamu mambo ya unabii sana na ni wafafanuzi wakubwa wa vitabu vya Ufunuo na Daniel. Kanisa zima lilianzishwa kutokana na vuguvugu la kutabiri kurejea kwa Yesu kule Marekani. Baada ya utabiri huo kushindikana na Yesu kutorejea hasa mwaka 1844, walikokotoa mahesabu ya kitabu cha Daniel upya wakatabiri tena wakashindwa. Tangu hapo Kanisa hili halijaachana na mambo ya unabii, kutabiri tabiri na conspiracy theories. Kila tukio jipya liwe natural au la hupitishwa katika chekecho la unabii; na unabii wa vitabu vya Daniel na Ufunuo ndiyo central theme.

Papa ni mtu wa muhimu sana kwa Waadventista Wasabato. Wanaamini kuwa Pope ndiye mpinga Kristo na mmiliki wa ile namba tata 666 na kwamba siku za mwisho kanisa katoliki litarudia hadhi yake liliyokuwa nayo hapo zamani wakati ule likitawala dunia na kuwapitishia hukumu za kifo akina Galileo Galilei. Wanaamini kuwa wao pekee ndiyo washika amri sahihi za Mungu na ndiyo pekee watakaokwenda mbinguni. Na wale wahafidhina hawali nyama, kunywa kahawa au chai, samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato na sheria nyingine za Kumbukumbu la Torati hasa zinazohusu siku ya Sabato. Siku ya Sabato hawaruhusiwi hata kupika! Kwa hiyo wokovu unafungamanishwa na sheria hizi za Musa jambo ambalo linapingwa na Wakristo wengi (Damu ya Yesu ndiyo ilimaliza kila kitu msalabani na mtu hataikosa mbingu eti tu kwa vila alikula samaki asiye na magamba!)

Wanatheolojia wengi na wachambuzi wa Biblia huwachukulia Wasabato kama aina mojawapo ya cult za Kikristo zilizofanikiwa sana. Badala ya kuamini Biblia pekee, wanaamini pia maandishi mengi (karibia vitabu 600) vya mama mmoja Mmarekani aitwaye Ellen G. White. Huyu wanamtambua kama nabii wao na baadhi ya vitabu vyake kama Pambano Kuu (The Great Controversy) vina hadhi kubwa sana kanisani. Pia wanaamini kuwa Yesu hakumaliza kazi ya kutukomboa msalabani bali kuanzia mwaka 1884 aliingia Patakatifu pa Patakatifu (Holly of Hollies) huko mbinguni ili kuendelea kututetea mbele ya Mungu Baba kuhusu dhambi zetu tunazoendelea kuzitenda hapa duniani.

Ova!
ww jamaa ni dhehebu gan inaonekana unaijua vizur sabato but very Nice kwaiyo unaipinga dhehebu la kisabato
 
Wengi humu hawataki ukweli huo lakini kweli ni kweli tu ata kama hautaki, papa ni mwanachama wa Jesuit group ambao ndio wamejenga institutions nyingi ikiwamo shule ya Loyola, ni kitengo cha freemasonry aka illuminants.
 
Mbona hujaleta zile nyingi ambazo zimesema wazi kwamba ametoa hiyo statement. Ulitegemea nini, wasikanushe. Kukanusha ni kitu ambacho kilitegemewa.
Sasa kama Papa anaamini katika hizi micro chip kwa nini wakanushe? Si wangtangaza had I jwenye vyombo vyao rasmi kuwa ni tamko la Papa? We hushangai kwa nini wanasema ni uzushi? Na kwa nini hutaki kuamini vyanzo rasmi vya taarifa za kanisaa unakaa kuamini taarifa zako za mitandao ya kuokotezaa? Halafu unataka kila mtu aamini unachoamini wewe ambacho kimetoka katika sehemu isioaminika. Tukikuita mpotoshaji tutakuwa tumekosea?
 
Hii mada ni muhadhara pasee...lakini kwa kuwa haujahusisha uislamu ndio maana mods hawajafuta uzi huu....
 
Nimekuulliza swali , Freemason wanakulipa dollar ngapi mbona husemi?Pia nimekuambia u-google "the secret oath of the Jesuits, " mbona hujaleta
mrejesho?

KNOWING IS WORTHIER/BETTER THAN BELIEVING. DONT WASTE UR ENERGY TO ARROGANT AND MIND RETARDED PEOPLE.
NO MATTER HOW INFORMATION U DROP, THEY WILL ALWAYS CASTE CURSES/CRITICISM TO YOU.

WE LOST THE WAR IN ANCIENT TIME BECAUSE SOME OF US A.K.A TRAITORS OPENED THE BACK DOOR OF OUR FORTRESS.

BUT THIS TIME WE WILL NOT SHOW MERCY TO OUR ENEMY BROTHERS.

MWAMSHO HUWA KWANZA KWA WATEULE. ILI WENGI WAPATE KUJIFUNZA KWA UJASIRI NA UMADHUBUTI WAO.

WAPUMBAVU KAMA HAO HUTOKANA NA UASILI WA MAKUZI YAKE.
 
Hii mada ni muhadhara pasee...lakini kwa kuwa haujahusisha uislamu ndio maana mods hawajafuta uzi huu....

NDG UISLAMU NI UNYONGE KWA KUWA NI DINI CHANGA KULIKO DINI ZOTE. NA NI DINI ILIOJAA WAJINGA NA WANYONGE.
HIVYO MODS WANAILINDA KWA NGUVU ZOTE.
DINI ILIOANZISHWA NA VATIKANI ITAKUWA INALINDWA KWA KUWATIA WATU HOFU NA UPOFU ILI WAITETE.

IKITAJWA DINI YA UKRISTU HUTAKUTA MODS WANAIFUNGA HIO MAADA. ILA IKITAJWA UISLAMU MODS ANAFUNGA.

SASA SWALI LA KUJIULIZA, NANI ANALINDWA NA KWA MASLAI YA NANI? JF AMA HISIA ZA WATIWA UJINGA NA HOFU.

DINI ZOTE NI ZA KIPUMBAVU KABISA. HAZINA UHUSIANO NA MAISHA YA KIROHO WALA UTAMADUNI, MILA NA DESTURI ZETU. KUANZIA ENZI ZA MABABU ZETU NA UTAMADUNI WETU.

KAMWE MTU MWEUSI HATAWEZA KUJINASUA KATIKA ULIMWENGU HUU UPAKA PALE TU TUTAKAPOWEZA KUZIKANA DINI HIZI UCHWARA ZA ASILI YA KIIBRAHIMU.

NAKUU: "SIJAWA MWAFRIKA KWA SABABU NIMEZALIWA AFRIKA BALI SABABU AFRIKA IMEZALIWA NDANI MWANGU".

BACK TO MY ROOTS.
 
Sio kila mtu lazima haende mbinguni... Na kondoo wapotevu huwa hawakosekani..... Aliyekua na maskio na asikie..... Ni vizuri unapopewa taarifa uifatilie sio kuanza kubisha tu.....
 
Kutenganisha kanisa katoliki na illuminat ni sawa na kutenganisha mapacha walioungana moyo (wanao-share moyo mmoja).
Iluminat ikianza mwaka 1700
Kanisa katoliki likianza mwaka wa 30 bk hoja yako nini sasa
 
Kutenganisha kanisa katoliki na illuminat ni sawa na kutenganisha mapacha walioungana moyo (wanao-share moyo mmoja).
Najua unajua Rais wa Marekani mkatolik nin kilimkuta!!

sasa badala utumie akili kufikiri unatumia masaburi , haya pole.
 
Jf si ya kipumbavu kama wewe !! tuseme mara ngapi kuhusu link !!

peleka huu upupu wako fb

naamini ukisoma Ufunuo wa Yohana kwa msaada wa Roho Mtakatifu utagundua kuwa kauli uliyotoa ni mbaya sana.. Mwenyezi Mungu akufunulie neno lake takatifu, Amen
 
naamini ukisoma Ufunuo wa Yohana kwa msaada wa Roho Mtakatifu utagundua kuwa kauli uliyotoa ni mbaya sana.. Mwenyezi Mungu akufunulie neno lake takatifu, Amen
Roho mtakatifu anakaa wapi?
 
Imeandikwa, "..watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.."
Mpinga kristo yupoje? Na huyo kristo yukoje? Na anapingwaje? Na huyo kristo lake ni lipi hadi apingwe? Au mnalazimisha ugomvi kwa vitu vilivyoadithiwa kwenye hadithi? Kwanini msiishi maisha ya kikale kale ili msiwe wapinga kristo!

Acheni ligi ndogo
 
Back
Top Bottom