Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Kama ulishanipuuza mbona sasa unaendelea kusoma hili bandiko. Inaelekea ni kaa la moto kwako.
Hivi buku ngapi wanakulipa Freemason, maana inaelekea uko hapa kupima uelewa wa watu kwenye uwovu wenu mnaotufanyia. Uagent ni mbaya sana, subiri hukumu ya milele kwa sababu ya kuwapotosha watu wa Mungu.
Mpuuzi mmoja kama wewe huenda unakundi la watu kama 10 hivi wanaokutegemea kimawazo..Sasa ni dhambi kubwa mno kukuacha uendelee kuharibu watu kwa upuuzi..

Ninachokifanya ni kukuweka katika mstari angalau uweze kutumia akili yako...Wewe akili yako nimeichukulia kama zuzu flan hivi...
 
Mkuu kwa tunaofahamu hila za papa,na jinsi gani anawazuga walimwengu,huwa tunaishia kukaa kimya tuu,maana kwa upande mwingine unaweza onekana kama unaumiza imani za watu,huyo ni jesuit,yaani mason mkubwa aliye vuka hata 33 degrees,yaani ktk rank za hao jamaa alisha vuka kbs
Kumbe alikueleza...? Ni degree za nini hizo..?

Hapo kwenye Red..

Lazima ukae kimya kama huyo zuzu mwenzako aliyeta thread na kushindwa kui-defend thread kwa maswali rahisi niliyomuuliza....
Haya sasa nawewe hebu jibu hilo swali..Inaelekea unajua haya mambo
 
Kumbe alikueleza...? Ni degree za nini hizo..?

Hapo kwenye Red..

Lazima ukae kimya kama huyo zuzu mwenzako aliyeta thread na kushindwa kui-defend thread kwa maswali rahisi niliyomuuliza....
Haya sasa nawewe hebu jibu hilo swali..Inaelekea unajua haya mambo
sasa kama unataka nikae kimya,na unahisi papa yuko sahihi,unataka nieleze nn?
 
Mkuu kwa tunaofahamu hila za papa,na jinsi gani anawazuga walimwengu,huwa tunaishia kukaa kimya tuu,maana kwa upande mwingine unaweza onekana kama unaumiza imani za watu,huyo ni jesuit,yaani mason mkubwa aliye vuka hata 33 degrees,yaani ktk rank za hao jamaa alisha vuka kbs
Hapana, tusikae kimya, lazima tuseme ili waujue ukweli. Wana muda mchache sana uliobaki. Jamaa akisha hamia Jerusalem, it is over. Na sio muda mrefu sana kutoka sasa.
 
sasa kama unataka nikae kimya,na unahisi papa yuko sahihi,unataka nieleze nn?
Nime-quote ulichokiandika.....Ndio maana nikakuweka kundi moja na huyo zuzu...

Ila kama hutojali ni jibu hayo maswali...
 
Hapana, tusikae kimya, lazima tuseme ili waujue ukweli. Wana muda mchache sana uliobaki. Jamaa akisha hamia Jerusalem, it is over. Na sio muda mrefu sana kutoka sasa.

Hii aina tofauti na yale mauaji makubwa yaliyotokea marekani baada ya William Miller kutabiri ujuio wa Yesu..(Great Diaappointment)... Ila huyu bwana alikija kusafishwa ni Kahaba mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa akili Hellen G White....Ilikuwa ni mwaka 1844
 
Mpuuzi mmoja kama wewe huenda unakundi la watu kama 10 hivi wanaokutegemea kimawazo..Sasa ni dhambi kubwa mno kukuacha uendelee kuharibu watu kwa upuuzi..

Ninachokifanya ni kukuweka katika mstari angalau uweze kutumia akili yako...Wewe akili yako nimeichukulia kama zuzu flan hivi...
Nimekuulliza swali , Freemason wanakulipa dollar ngapi mbona husemi?Pia nimekuambia u-google "the secret oath of the Jesuits, " mbona hujaleta
mrejesho?
 
Kumbe alikueleza...? Ni degree za nini hizo..?

Hapo kwenye Red..

Lazima ukae kimya kama huyo zuzu mwenzako aliyeta thread na kushindwa kui-defend thread kwa maswali rahisi niliyomuuliza....
Haya sasa nawewe hebu jibu hilo swali..Inaelekea unajua haya mambo
soma vitabu usiwe unatoka povu tuu mkuu,
 
Nimekuulliza swali , Freemason wanakulipa dollar ngapi mbona husemi?
Hii umetolea wapi...? Kwani thread ilikuwa ni yakulipana fedha..? Hao freemason wanapatikana wapi..?

Mimi kukuliza maswali uliyoshindwa kijibu ndio chanzo cha mimi kulipwa na hao freemason(Hii nzuri sana maana ni fursa)....Daah...Unalaana!!?
 
ndio maana nimeishia hapo mkuu,nilijua kuna watu wanaumia na huu ukweli,tufanye yaishe tuu mkuu and am so sorry
Kweli lazima isemwe..... Sasa kama wewe si mnafiki kwanini unaficha hiyo kweli..? Huenda wewe ni muongo ..

Halafu ni watu gani hao wanaumia..? Mbona unataka kuvika watu lawama za kuumia...? Hao watu wanaomia wako wapi..?

Lete hicho ulichoelewa kwenye vitabu tuchambue hapa....
 
1475432052031.jpg
1475432099033.jpg
1475432161854.jpg
 
Katika hali ya kushangaza, Papa Francis amejitokeza hadharani kuunga mkono matumizi ya vichipu vya RFID, yaani Radio Frequency Identification kwa wanadamu. Amesema tekinolojia hii inaleta matumaini makubwa katika kutatua matatizo mengi ya wanadamu na hivyo kuboresha ustawi wao.

Matamshi haya yanakuja huku akijua msimamo wa kiimani wa makanisa mengi ya Kikristo na hata kanisa Katoliki lenyewe. Makanisa mengi ya kikristo yanaamini kwamba RFID chipping ni alama ya mnyama au Shetani kama ilivyoelezwa katika kitabu cha Ufunuo. Tukio hili kufuatana na imani ya makanisa haya, linaashiria mwisho wa dunia.

Katika kitabu cha Ufunuo13 msitari wa 16-18 tunasoma maneno haya, 16Naye alimlazimisha kila mtu, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, huru na mtumwa, kupokea chapa katika mkono wake wa kulia au paji la uso, 17 ili kila mtu asiweze kununua au kuuza mpaka awe na hiyo chapa, ambalo ndilo jina la huyo mnyama au namba ya jina lake. 18 Hii inahitaji hekima, kama mtu ana ufahamu aitafute namba ya huyo mnyama, kwa sababu ni namba ya kibinadamu. Namba yake ni 666.

Kwa wale wachunguzi watakubaliana na mimi kwamba namba hii inatumika sana siku hizi.Wapo ambao wanaitumia kwa uwazi kwenye bidhaa. Wanamuziki wa Rock hasa nchi za Ulaya na Marekani nao wanaitumia sana, lakini wengi wanatumia kwa siri, kwa hiyo inahitaji umakini mkubwa kuweza kujua kwamba ni 666. Hata logo ya Olympic ina namba 666. Matumizi ya namba hii kwenye barcodes ni wazi kidogo!

Katika hotuba yake ya kila wiki Vatican, Papa alizungumzia juu ya imani aliyonayo kwenye tekinolojia ya RFID. Aliwahakikishia waumini wake kwamba hakuna athari zozote za kiroho au kiafya zinazoweza kutokana na matumizi ya vichipu vya RFID. Hata hivyo inafahamika kwamba yapo matatizo makubwa ya kiafya yanayoweza kutokana na matumizi ya vichipu vya RFID vinapochoka, ikiwa ni pamoja na maumivu makali mwilini na majipu mwili mzima.

Aliendelea kwa kusema wamechunguza maandiko vizuri na hivyo wanaweza kusema kwamba hakuna ushahidi wowote unao-onyesha kwamba vichipu vya RFID ambacho kinawekwa mwilini kina muwakilisha Shetani. Nadhani alisahau Ufunuo 13:16-18! Aliongeza kusema RFID ni baraka kutoka kwa Mungu mwenyewe ambayo ameileta kwa wanadamu.

Aliwaomba wauminu wa Kanisa Katoliki waipokee baraka hii kwa moyo mmoja. Alimalizia kwa kusema kuanzia sasa itakuwa lazima kwa kila mfanyikazi wa Vatican kuwekewa kichipu cha RFID.

Kusoma zaidi:Google "Pope Francis goes public in support of RFID implantation. "
Kuna ukweli hapa, lakini, Mwenye haki ataishi kwa imani,
 
Mleta mada ni Msabato. Wao ndiyo hujifanya kuwa wanafahamu mambo ya unabii sana na ni wafafanuzi wakubwa wa vitabu vya Ufunuo na Daniel. Kanisa zima lilianzishwa kutokana na vuguvugu la kutabiri kurejea kwa Yesu kule Marekani. Baada ya utabiri huo kushindikana na Yesu kutorejea hasa mwaka 1844, walikokotoa mahesabu ya kitabu cha Daniel upya wakatabiri tena wakashindwa. Tangu hapo Kanisa hili halijaachana na mambo ya unabii, kutabiri tabiri na conspiracy theories. Kila tukio jipya liwe natural au la hupitishwa katika chekecho la unabii; na unabii wa vitabu vya Daniel na Ufunuo ndiyo central theme.

Papa ni mtu wa muhimu sana kwa Waadventista Wasabato. Wanaamini kuwa Pope ndiye mpinga Kristo na mmiliki wa ile namba tata 666 na kwamba siku za mwisho kanisa katoliki litarudia hadhi yake liliyokuwa nayo hapo zamani wakati ule likitawala dunia na kuwapitishia hukumu za kifo akina Galileo Galilei. Wanaamini kuwa wao pekee ndiyo washika amri sahihi za Mungu na ndiyo pekee watakaokwenda mbinguni. Na wale wahafidhina hawali nyama, kunywa kahawa au chai, samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato na sheria nyingine za Kumbukumbu la Torati hasa zinazohusu siku ya Sabato. Siku ya Sabato hawaruhusiwi hata kupika! Kwa hiyo wokovu unafungamanishwa na sheria hizi za Musa jambo ambalo linapingwa na Wakristo wengi (Damu ya Yesu ndiyo ilimaliza kila kitu msalabani na mtu hataikosa mbingu eti tu kwa vila alikula samaki asiye na magamba!)

Wanatheolojia wengi na wachambuzi wa Biblia huwachukulia Wasabato kama aina mojawapo ya cult za Kikristo zilizofanikiwa sana. Badala ya kuamini Biblia pekee, wanaamini pia maandishi mengi (karibia vitabu 600) vya mama mmoja Mmarekani aitwaye Ellen G. White. Huyu wanamtambua kama nabii wao na baadhi ya vitabu vyake kama Pambano Kuu (The Great Controversy) vina hadhi kubwa sana kanisani. Pia wanaamini kuwa Yesu hakumaliza kazi ya kutukomboa msalabani bali kuanzia mwaka 1884 aliingia Patakatifu pa Patakatifu (Holly of Hollies) huko mbinguni ili kuendelea kututetea mbele ya Mungu Baba kuhusu dhambi zetu tunazoendelea kuzitenda hapa duniani.

Ova!
Mungu Mwenye Enzi akubariki akuongezee maharifa na juhudi katika kuwaweka sahihi waja wake.
 
Hawajii kuwa biblia ni mali ya Kanisa...Tumefanya kuwapa tu na wao wafaidi Neno la Mungu....Na pia hawajui karibu vitabu vyote vya Agano Jipya vipo ili ku-suit mafundisho ya Kanisa..

Daah
Biblia ni Mali ya kanisa. Kanisa gani? Nisaidie
 
Back
Top Bottom