Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

Sasa jiji la bikira Maria Lina shambuliwa na Mungu yupo kimya tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe hauoni kuwa huo Ni usanii kwanini Kama kweli Hiyo Ni dini ya mungu ,mungu mwenyewe asiwazuie warusi kushambulia Hilo jiji na badala yake anatokea binaadamu tu Kama wewe ndiye anajifanya kukemea !?
Mbona Mungu wenu wa majini nyie ajibu pale magaidi ya muslim palestine, syria yanapoteketezwa
 
Papa Ni mwehu tu apaleke utapeli wao wa kidini na kiimani kwa wehu wenzake huko Hana jipya , [emoji16][emoji16][emoji16]
Papa siyo tapeli, ndiyo maana akiongea dunia inatetemeka kama hiv, matapeli ni masheik wenu wanaoliwa kiboga na Majini ya mtume
 
Uzuri nimeshakua huko orthodox....kutambuana ni unafiki tu wa nje ila ndani wa orthodox wanawachukulia warumi kama ni waongo na matapeli tu..wanawaita "heretics"View attachment 2149610
Hayo matheheb yote n christian, mafundisho n vitabu vyao vya dini ni bible hivyo huwez watenganisha kama wale wanaochnjana kam kuku
 
Hayo matheheb yote n christian, mafundisho n vitabu vyao vya dini ni bible hivyo huwez watenganisha kama wale wanaochnjana kam kuku
hakuna aliewatenganisha zaidi ya wao wenyewe kuona mwingine ni tapeli anaidanganya dunia
 
hakuna aliewatenganisha zaidi ya wao wenyewe kuona mwingine ni tapeli anaidanganya dunia
Hakuna cha kutenganisha christian, paganism, napeleone, ottoman, rome empire walishindwa sembse nyie magaid ya ulimwengu
 
Back
Top Bottom