Pope ni kiongozi mkuu wa kabisa katoliki ulimwenguni kwhy lazima aheshimike siyo kama hao makobazi yenKwanza Urusi wana Papa wao so sidhani kama wanafata madhehebu yao
Papa wa Italy atulie kwanza apambane na kuwachukulia hatua wachungaji watovu wa nidhamu