Papa Francis ana mpango wa kuruhusu mapadri kuoa

Papa Francis ana mpango wa kuruhusu mapadri kuoa

Papa anadai kuwa takwa la mapadri kutooa lilikuwa ni la muda tu(Takwa hilo lilianza karne ya 11). Anasema hakuna utata wowote iwapo watawa wataoa. Anadai mapadri wa kanisa la mashariki wanaoa na hakuna shida yoyote. Anafanya mpango kureview suala hilo.

======

In a new interview, Pope Francis discussed the possibility of relaxing the discipline of priestly celibacy. Speaking to the Argentinian news website info babe, Pope Francis recalled that in the eastern catholic church, married men are allowed to be.

WION
Wamechoka kutafuna mbususu kwa kificho na wao wanataka wale laiv

Tatizo linakuja pale watakapooana mapadr wenyew kwa wenyew

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
nadhani kuna kipindi unakuta mtu anajutia kwanini alikuwa padri, ile hali kwa mwanaume inahitaji kujikana sana. hongera kwa mapadri waliotumikia kanisa hadi wakawa mapadri wazee kama papa mwenyewe.
 
Siyo dini, ni kanisa.

Biblia haijakataza Watawa kuowa au kuolewa, hizo ni Roman Catholic administration tu, usichanganye mambo
Hao wanaitwa Matowashi. Na Matowashi ni akina nani?

Maana yake nni nini Bwana anaposema (Mathayo 19) “Maana wako 1.MATOWASHI-waliozaliwa hali hiyo toka MATUMBONI MWA MAMA ZAO; Tena wako

2.MATOWASHI-waliofanywa na WATU kuwa matowashi; tena wako 3.MATOWASHI-WALIOJIFANYA KUWA MATOWASHI KWAAJILI YA UFALME WA MBINGUNI.Awezaye kulipokea neno hili,na alipokee”.

JIBU: Matowashi ni watu waliojitoa wakfu kwa Mungu, wasiojihusisha na mambo ya wanawake,(yaani kuwa na mke au watoto), mfano wa matowashi katika biblia ni Bwana wetu Yesu, Mtume Paulo,Barnaba, Yohana mbatizaji na Eliya Mtishbi.

Sasa wapo wa aina tatu, wapo ambao tangu kuzaliwa tumboni mwa mama zao Mungu aliwaumba hivyo, hawana uwezo wa kuzalisha, wengi miongoni mwa hao Mungu amewachagua wawe wakfu kwake…kwa ajili ya utumishi wake.

Kadhalika wapo wengine wamehasiwa, hao ndio waliofanywa na watu kuwa hivyo kwa ajili ya ufalme wa mbinguni…

Na pia wapo ambao wameamua kujifanya wenyewe kuwa matowashi..hawa hawajahasiwa wala hawana shida yoyote isipokuwa wao wenyewe wameamua kubaki hivyo hivyo wasioe kwa ajili ya ufalme wa mbinguni yaani wajishughulishe na mambo ya ufalme wa mbinguni kwa uhuru zaidi..mfano wa hao ni Bwana wetu Yesu, Mtume Paulo, Barnaba, Yohana mbatizaji, Eliya mtishbi n.k..

Na kama Bwana Yesu alivyosema mtu yoyote awezaye kulipokea neno hilo na alipokee alikuwa anamaanisha kwamba “mtu akitaka kuwa hivyo na awe” ila sio lazima kama kama Mtume Paulo pia alivyosema kwa uweza wa Roho katika 1 Wakorintho 7:26-40.

Na pia kumbuka hiyo ni KARAMA watu wa namna hiyo huwa wanaona mke/mume kwao si kitu cha thamani kubwa sana kama kuwa tu karibu na Mungu. Hawajilazimishi wala kutumia nguvu nyingi kufanya hivyo, tofuati na wengi wanavyodhani. Mwanamke aliyejitoa kwa Mungu, kaamua kutojishughulisha na mambo ya mume, huyo naye anatafsirika kama towashi.

Ubarikiwe.
 
Papa anadai kuwa takwa la mapadri kutooa lilikuwa ni la muda tu(Takwa hilo lilianza karne ya 11). Anasema hakuna utata wowote iwapo watawa wataoa. Anadai mapadri wa kanisa la mashariki wanaoa na hakuna shida yoyote. Anafanya mpango kureview suala hilo.

======

In a new interview, Pope Francis discussed the possibility of relaxing the discipline of priestly celibacy. Speaking to the Argentinian news website info babe, Pope Francis recalled that in the eastern catholic church, married men are allowed to be.

WION
Hili suala ni muhimu Sana. Wacha jamaa waoe kwakweli.
 
Sitasahau kamwe maishani mwangu jinsi padre alivyompachika mimba mchumba wangu na uchumba ukaishia hapo hapo, na kumwoa asimwoe, akaongeza dhambi ya kumpa pesa ya kutolea mimba. Hawa jamaa kuingia mbinguni ni ngumu sana kwao.
 
wakiruhusiwa kuoa na sisi waumini tuongezewe mke, tuoe wawili
 
Kwani mapadri kutooa ni agizo la nani? Ipo kwenye Biblia? Ni agizo la Mungu? Nini maana ya Padri kutoruhusiwa kuoa?
 
Back
Top Bottom