Papa Francis apenda picha ya mdada aliyevaa bikini instagram

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto kutoka Marekani.

Katika hatua ya kushtua wadau walianza kumuandama #PapaFrancis mitandaoni, Jambo lililopelekea Kanisa Katoliki ku-Unlike picha hiyo iliyopostiwa na Mwanamitindo huyo.

Mrembo huyo anayetumia jina la @nataagataa amekuwa akiposti picha za nusu uchi jambo ambalo limeleta tafsiri tofauti tofauti kwa kiongozi huyo mkubwa duniani.

Watu wa kwanza kuona 'LIKE' hiyo ni @barstoolsports na baada ya kuona 'Like' hiyo walimtafuta Natalia kwa njia ya #twitter na kumuuliza anajisikiaje?

Natalia akajibu, "Najiona nimefika Peponi".
 

Attachments

  • Screenshot_20201119-174813_1605797322048.jpg
    38.8 KB · Views: 10
Hivi watu wanajua kwamba huyu Papa kabla ya kuwa Papa, zamani alikuwa baunsa wa bar kwao Argentina?

Huu uzi bila picha ni sawa na ugali bila mboga.

Ona vitu hapa

 
Yaani Papa alike kwenye "ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani..." aweke like kwenye hiyo picha halafu Kanisa Katoliki li'unlike' picha hiyo iliyopositiwa na Mwanamitindo huyo"? Inawezekanaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dini ni ulaibu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kagawanyika vizuri... Kiuno kimetulia haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…