Mkuu,Jina la Israel maana yake ni "MTU aliyepigana na malaika" hata MUNGU mwenyewe alibariki vita Toka enzi na enzi na watu walishinda.
Jaribu kusoma vitabu vitakatifu utapata majibu
Kuna vitu ukiviangalia katika logical context utaelewa level ya ujinga miongoni mwa watu.
Mtu akivamiwa na SMG kwa hiyo akakimbilie BIBLIA? Hiyo akili ya kufikiria binadamu anaitumia kufanya kazi gani?
Hata uislamu unasema " Pray to Allah, but tie your Camel"
Maisha ya mwanadamu ni pamoja na kuwajibika kwa ngazi tofauti tofauti, nothing is for free- Hata kuiona kesho kuna uwajibikaji ndani yake.
Jeshi la polisi lipo kwa ajili ya kutulinda na kutuhakikishia usalama wetu, lakini pia wanatuhamasisha kuwa na defensive weapons nyumbani kwa kuamini usalama unaanza na mtu mwenyewe.