Papa Francis asema kuipa silaha Ukraine inakubalika kimaadili lakini majadiliano ni muhimu

Watu wanahoji, mbona hatoi rai hiyo kule palestina?

Ama hujui kua Israel inaikalia ardhi ya Palestina kimabavu?
 
Huyu alikua wapi?, Urusi alikaa na Uikrane mezani zaidi ya miaka 20.
Huu mpango NWO hapana, Putin tupo pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kuwa alikuwa wapi..
Nb:, Mimi nimeuongelea Papa si Ukraine na Ukraine si Papa. Putin alipaswa kui-Blackmail Ukraine katika maridhiano ikiwa waliwai shindwana huko nyuma ila si ku-blackmail Kila mtu aliehisi/aliekuwa tofauti na mwelekeo wake.
Kuzozana na mkeo then uchukie mtaa mzima ni tatizo la Afya ya Akili.
 
Mimi nipo kama nilivyo sipo upande wa dini wala upande wa atheist .
 
Katiba ya China ambayo kiongozi huweka mkono wake wakati wa kuapa ina ruhusu Uhuru wa mtu wa kiiamini ilimradi tu Imani yake isivunje sheria na taratibu za China chini ya chama za kikomunisti zilizo wekwa.
 
ajikalie kimya watoto duniani wanahaha njaa ujue urusi ilipewa fursa yakulisha dunia automatic lakini fursa imetumika vibaya Papa anahaki yakusema neno
 
Huyu mama Benedict ni aibu kwa kanisa katoliki mwenye akili inayofanana na ya panya.Ni mpumbaf na incompetent kupita hata wengi walio chini yake,,yeye ni mliberali na kutokana na kuwa na akili ya panya ameshaona hajapokelewa vizuri na waumini na viongozi wengi conservative Sasa anachagua waliberali wanzie ili washiriki kuchagua Pope mwengine baada ya kiti kumshinda,,,Huwa najiuliza Moshi mweupe ulitokea alipochaguliwa au kulikuwa na magumashi??
 
Inabidi na Palestine apewe silaha akabiliane na Israel wakati wanasubiri mazungumzo!
Hivi haya maneno mbona hatuyasikii kwenye uvamizi wa Islaer kule Palestina? Kumbe Palestina nae anahaki ya kujilinda? Kwanini hamkemei?
Papa kaulizwa kuhusu Ukraine, nyinyi mnataka ajibu kuhusu Palestina. Mnahisi Papa ni mtu wa akili za kunywea supu kwamba anaulizwa hiki anajibu kingine.

Tafuta waandishi wa habari wakaulize maswali ya Palestina. Na isitoshe majibu yake na msimamo wa kanisa kuhusu Palestina upo kasome. Pichani Papa Fransis akiwa na Mahmoud Abbas mwaka jana mjini Vatican
 
Mimi nimesema inabidi na Palestine wapewe silaha wajihami,Inamaana US hawaoni?
 
Ukweli ni upi?

Wewe umesema ni upumbavu kuwa atheist, lakini down the line unasema wanaoamini Mungu ni wapumbavu, were do you stand? Is it logically correct.
Hao ndio wale wale wakishika madaraka maoni/maono yao ndio sahihi,upumbavu wa dini ni upi kuhubiri amani na upendo ukute hata mahakama anazichukia huyo.
 
Wanamtumia pope kujustify maovu yao

Papa kwa ule umri wake s wakusumbuliwa na mambo mazito Kama haya

Ajikite kueneza injili Kama lengo mama ya Kaz yake

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hao ndio wale wale wakishika madaraka maoni/maono yao ndio sahihi,upumbavu wa dini ni upi kuhubiri amani na upendo ukute hata mahakama anazichukia huyo.
Naona una nizungumzia ukidhani kauli yako ndiyo sahihi.

: Hauwezi ukahubiri amani na upendo huku umeshika mapanga huo ni unafiki, ujinga, ushenzi na upumbavu mkubwa.
 
Mimi nimesema inabidi na Palestine wapewe silaha wajihami,Inamaana US hawaoni?
Palestine silaha walishapewa na hadi sasa wanapewa na Iran kwa mbinde. Syria na Egypt zishapeleka majeshi kupigana na Israel. Waarabu walishapeleka contingent yao kupigana na Israel.

Mimi mwenyewe huwa nakubali pendekezo la Vatican ambalo wengi hupendekeza. Kuwepo na peaceful coexistence
 
Mambo ya Russia na Ukraine waachiwe wenyewe...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndio mana nimeanza kuwa na wasi wasi na hizi dini zetu!

Maadili yapi yanaruhusu mtu kuuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…