Papa Francis asema wanachokifanya Israel ni ugaidi

Papa Francis asema wanachokifanya Israel ni ugaidi

Walete ushoga au wajazilizie maana ninyi na wazungu sawa tu,mnavyoviongea hamvitendi yaani kiufupi nyie ni kama mafalisayo.Mchana mnausema ushoga usiku mnautenda,Kuna utafiti ambao unasema wanawake wa kiislamu 90% hawana Malinda,huko Zanzibar kutoka raia,askari hadi wafungwa ni kutinduana kwa kwenda mbele.View attachment 2950907
Hapo ndio walipokaribisha zenji wakaleta hizo mambo ,wanaojiuza wote wanatoka huku kufuata wazungu.
 
Samahani nipo nje ya mada
Naomba unitajie mikoa inayoongoza kwa matukio ya ushoga na ulawiti Tanzania
Leta twakimu kamuulize Mwakiyembe upo makao makuu then uje ..

Acha propaganda hakuna hizo mambo ,kaulize takwimu kwanza.
 
Samahani nipo nje ya mada
Naomba unitajie mikoa inayoongoza kwa matukio ya ushoga na ulawiti Tanzania

Hizo ndio takwimu acha kudanganywa na matrix 😅😅😅 kama unabisha kafanye research ,maana hata mikoa unayodanganywa wanashangaa kuhusu hizo tetesi.
Screenshot_20240401-180830.png
 
My take:
1. Kwa sasa najikita katika haki za binadamu tu, as long as mtu hamdhuru mtu mwengine, kesi yake namuachia mwenyewe na Mungu.

2. Watu weupe hasa wa magharibi wana utu sana na wanajitahidi kutumia logic, hisia za dini haziwapeleshi.

4. Waafrika wengi wanaroho mbaya sana na wanaendesha na hisia na wamejawa na chuki. Na wana low emotional intelligence.

3. Mtaji mkubwa wa Israel ni wakiristo wenye chuki na uislam au waislam na wafia dini wasiojua kutofautisha Israel na Ukiristo

4. Huhitaji dini kua mtu mwema.

View: https://x.com/RaggedTP/status/1774381873369632786?s=20

Ila Hamas walipoua wayahudi wanawake na watoto na watu wasio na hatia October 7 haikuwa ugaidi.? Mbona hakutoa tamko?
 
Nimeuliza tu lakini ndo maana nikatanguliza samahani
Ndio nakuelewa takwimu ni hizo ...Hizo nyingine propaganda maana hiyo ni biashara kama nyingine 😅😅😅

Nadhani utajua watu fulani wanapakwa shombo ila ukweli usemwe,kakae hiyo mikao kama utaona hiyo michezo.

Mpaka mtandao wao unajulikana mpaka Sehemu za starehe
 
Najua ukweli unaujua ndo maana umeshindwa kutaja ukajificha kwenye hii habari.
Anyway acha UNAFIKI linapokuja suala la ushoga na ulawiti kwa sababu inajulikana ni wapi matukio yametolewa taarifa kwa wingi.
Kama unavyojua wapi wameweka adhabu kali ila unajisahaulisha kwa elimu ya kuletewa ,unalazimishwa kwamba sehemu fulani ila tambua hakuna ukweli.

Kama unaweza fanya research uone😅😅
 
Hayo maombi mtapa laana tu Gaidi Marekani na washirika wake na waisaral weusi kama nyie mshangilia kuiliwa zaidi ya watoto na wanawake 25,000 huyo mungu mnae muomba atakuwa msege 🤣
Takwimu from Hamas? Mohamed kusema Allah ni bingwa wa uongo hakukosea hata kidogo ni Shetani...
 
Vita ya pale haina uhusiano na dini ,kwa vile palastine kuna wakristo ila waislamu ni wengi.

sio ya dini tunasema kila siku .

Miaka ya nyuma hawa wayahudi walihifahdiwa kama ndugu na hao wapalestina kwa kupewa identity ya uislamu ili wapone ila baadae

Vita hii wakristo ni wajinga wanatetea wayahudi wa mchongo kwa kusema lile ni taifa teule😅😅😅hapo ndio sababu yao , wana mpaka bendera .

Hao waislamu wa kipalestine walionya wasiwapokee ila leo ndio madhara ,walifoji mpaka nyaraka ili wanawaonekane dnugu

Pia maandiko yanasema hao manaswar wanawaona mayahudi kama marafiki zao...Ndio haya yanayoendelea wakristo wanaona hao jamaa ni ndugu zao mpaka wanaweka bendera ,eti taifa teule .😅😅
View attachment 2950549
Unaongelea miaka ipi? au enzi za Yesu ndio maana kila siku mnasema Yesu alikuwa Muislam? wajinga wa Historia always wajinga
 
My take:
1. Kwa sasa najikita katika haki za binadamu tu, as long as mtu hamdhuru mtu mwengine, kesi yake namuachia mwenyewe na Mungu.

2. Watu weupe hasa wa magharibi wana utu sana na wanajitahidi kutumia logic, hisia za dini haziwapeleshi.

4. Waafrika wengi wanaroho mbaya sana na wanaendesha na hisia na wamejawa na chuki. Na wana low emotional intelligence.

3. Mtaji mkubwa wa Israel ni wakiristo wenye chuki na uislam au waislam na wafia dini wasiojua kutofautisha Israel na Ukiristo

4. Huhitaji dini kua mtu mwema.

View: https://x.com/RaggedTP/status/1774381873369632786?s=20

Hili li papa nalo linaogopa wafuasi wa Shetani? kwanza sio Mkristo huyu... Amdanganye nani kuhusu War ya Gaza enzi za ujinga zishapita.. wacha adhabu ya Mungu itekelezwe Gaza malipo ni hapa hapa Duniani lets Arabs wapishe ardhi ya Israel kama wanapenda sana Dini wakahamie Mecca... Israel its for us.. kila shetani anapopata support kutoka kwa wahuni ndio kichapo wanachokula Arabs wa Gaza... Maandiko yapo wazi so kichapo ni pale pale hakikwepeki
 
Unaongelea miaka ipi? au enzi za Yesu ndio maana kila siku mnasema Yesu alikuwa Muislam? wajinga wa Historia always wajinga
Mbona hueleweki ? 😅😅Yesu huyo Mungu wenu!?
 
Jamani huyo shetani anayefanya hamas aendelee kushikilia mateka 134 huku wapalestina wanaangalia ni hatari , na watu hawashiriki wanaendelea tu kusifu hamas. Ni muda mwafaka wa kuingia kwenye maombi mazito sana ili hamas na Israel utu uwaingie.
Mheshimiwa: Subiri kwanza kidogo; acha inyeshe tujue panapovuja na kieleweke.
 
Back
Top Bottom