Vita ya pale haina uhusiano na dini ,kwa vile palastine kuna wakristo ila waislamu ni wengi.
sio ya dini tunasema kila siku .
Miaka ya nyuma hawa wayahudi walihifahdiwa kama ndugu na hao wapalestina kwa kupewa identity ya uislamu ili wapone ila baadae
Vita hii wakristo ni wajinga wanatetea wayahudi wa mchongo kwa kusema lile ni taifa teule😅😅😅hapo ndio sababu yao , wana mpaka bendera .
Hao waislamu wa kipalestine walionya wasiwapokee ila leo ndio madhara ,walifoji mpaka nyaraka ili wanawaonekane dnugu
Pia maandiko yanasema hao manaswar wanawaona mayahudi kama marafiki zao...Ndio haya yanayoendelea wakristo wanaona hao jamaa ni ndugu zao mpaka wanaweka bendera ,eti taifa teule .😅😅
View attachment 2950549