Papa Francis asihi waliotekwa waachiwe huko Israel na Palestina

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, katika matamshi yake makali tangu kuanza kwa mzozo kati ya Palestina na Israel, ametoa wito wa kuachiliwa kwa Mateka wote waliochukuliwa na wanamgambo wa Hamas na kusema Israel ina haki ya kujilinda.

3030aecb973ab28c0fd2241c36f4cc52.jpg

Mtandao wa DW Swahili umeripoti kuwa akiongea mwishoni mwa hadhara yake ya kila wiki kwa maelfu ya Watu katika uwanja wa St. Peter, Papa Francis ameelezea pia wasiwasi wake juu ya kuzingirwa kwa Israel na Gaza.

"Ninaendelea kufuatilia, kwa uchungu na wasiwasi kile kinachotokea Israel na Palestina, Watu wengi sana wameuawa na wengine kujeruhiwa, naziombea Familia zilizoshuhudia siku ya sikukuu ikigeuka kuwa siku ya maombolezo na ninaomba kwamba Mateka waachiliwe mara moja.”

"Ni haki ya wale wanaoshambuliwa kujilinda, lakini nina wasiwasi mkubwa na mzingiro mzima wa Wapalestina wanaoishi Gaza, ambako pia kumekuwa na wahasiriwa wengi wasio na hatia.”

Jeshi la Israel limefanya mashambulizi ya ndege usiku kucha katika viunga vya ukanda wa Gaza, huku vita vyake dhidi ya kundi la Hamas vikiingia siku ya tano leo Jumatano na zaidi ya Watu 2,200 wameuawa katika vita hivyo kwa pande zote huku vifo vikihisiwa kuongezeka.
 
Huyu nae atulie. wa kujilinda Nani? Aliyevamiwa ardhini kwake then anaambiwa kuwa sio kwake. Au mvamizi katili
HISTORIA KWA UFUPI , mwaka 1948 wapalestina walipewa eneo kubwa tu kuliko waisrael ila tamaa ikawaponza wakalitaka eneo dogo la waisrael wakidai wanataka kuwaondoa wayaudi kwenye uso wa dunia , bas mamb yakawa kinyume wapalestina wakapigwa na kuporwa wao eneo , miaka michache baadae wapalestina na waarab wakaanzisha mapambano mapya kwa kuivamia israel ila wakapigwa na kuporwa tena eneo jingine , pia wapalestina wamekuwa wakijichanganya mpk leo wanaanzishaga ugomv hlf wanaishia kuporwa maeneo ba hawajifunzi , kipind waisrael wanapambana kujenga taifa , wapalestina walipambana kuiondoa vizaz vya wayaudi hapo mashariki ya kati huku wakisahau kusau kuwa wao si taifa linalotambuliwa kimataifa
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, katika matamshi yake makali tangu kuanza kwa mzozo kati ya Palestina na Israel, ametoa wito wa kuachiliwa kwa Mateka wote waliochukuliwa na wanamgambo wa Hamas na kusema Israel ina haki ya kujilinda.

Mtandao wa DW Swahili umeripoti kuwa akiongea mwishoni mwa hadhara yake ya kila wiki kwa maelfu ya Watu katika uwanja wa St. Peter, Papa Francis ameelezea pia wasiwasi wake juu ya kuzingirwa kwa Israel na Gaza.

"Ninaendelea kufuatilia, kwa uchungu na wasiwasi kile kinachotokea Israel na Palestina, Watu wengi sana wameuawa na wengine kujeruhiwa, naziombea Familia zilizoshuhudia siku ya sikukuu ikigeuka kuwa siku ya maombolezo na ninaomba kwamba Mateka waachiliwe mara moja.”

"Ni haki ya wale wanaoshambuliwa kujilinda, lakini nina wasiwasi mkubwa na mzingiro mzima wa Wapalestina wanaoishi Gaza, ambako pia kumekuwa na wahasiriwa wengi wasio na hatia.”

Jeshi la Israel limefanya mashambulizi ya ndege usiku kucha katika viunga vya ukanda wa Gaza, huku vita vyake dhidi ya kundi la Hamas vikiingia siku ya tano leo Jumatano na zaidi ya Watu 2,200 wameuawa katika vita hivyo kwa pande zote huku vifo vikihisiwa kuongezeka.
Kubwa la machoko hilo
 
Attachments

  • Screenshot_20231003-230402.png
    Screenshot_20231003-230402.png
    59.6 KB · Views: 8

Bado ache kiherehere anamuamuru nani huyo kima mateka wanazibuliwa mafla kwanza
 
Dunia imeshajua ttrue colour of POPE...
Sidhani kama hizi regime ina muda mrefu tena kama itkadi ..
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, katika matamshi yake makali tangu kuanza kwa mzozo kati ya Palestina na Israel, ametoa wito wa kuachiliwa kwa Mateka wote waliochukuliwa na wanamgambo wa Hamas na kusema Israel ina haki ya kujilinda.

Mtandao wa DW Swahili umeripoti kuwa akiongea mwishoni mwa hadhara yake ya kila wiki kwa maelfu ya Watu katika uwanja wa St. Peter, Papa Francis ameelezea pia wasiwasi wake juu ya kuzingirwa kwa Israel na Gaza.

"Ninaendelea kufuatilia, kwa uchungu na wasiwasi kile kinachotokea Israel na Palestina, Watu wengi sana wameuawa na wengine kujeruhiwa, naziombea Familia zilizoshuhudia siku ya sikukuu ikigeuka kuwa siku ya maombolezo na ninaomba kwamba Mateka waachiliwe mara moja.”

"Ni haki ya wale wanaoshambuliwa kujilinda, lakini nina wasiwasi mkubwa na mzingiro mzima wa Wapalestina wanaoishi Gaza, ambako pia kumekuwa na wahasiriwa wengi wasio na hatia.”

Jeshi la Israel limefanya mashambulizi ya ndege usiku kucha katika viunga vya ukanda wa Gaza, huku vita vyake dhidi ya kundi la Hamas vikiingia siku ya tano leo Jumatano na zaidi ya Watu 2,200 wameuawa katika vita hivyo kwa pande zote huku vifo vikihisiwa kuongezeka.
Papa anajidanganya sanaaa
 
Ninaendelea kufuatilia, kwa uchungu na wasiwasi kile kinachotokea Israel na Palestina, Watu wengi sana wameuawa na wengine kujeruhiwa, naziombea Familia zilizoshuhudia siku ya sikukuu ikigeuka kuwa siku ya maombolezo na ninaomba kwamba Mateka waachiliwe mara moja.”
Tunaambiwa Vatican ndio Kiranja wa dunia mbona hatuoni Effect yake?

Dunia hii tumedanganywa sana kwa muda mrefu.
Wengine walitudanganya Urusi ni Supa Power😆😆
 
Nimesoma just few lines .....huyu mzee atakuwa amepatwa na mental disorder mtenda akitendewa huumia sana sana anatufanya tuendelee kuutia doubt Uroman Catholic
 
Huyu Papa anataka tuache kuangalia vita yenye akili turudi kwenye Mama anaupiga mwingi? Wakae na mateka tupate sababu ya vita kuendelea kupigana.
 
"Ni haki ya wale wanaoshambuliwa kujilinda, lakini nina wasiwasi mkubwa na mzingiro mzima wa Wapalestina wanaoishi Gaza, ambako pia kumekuwa na wahasiriwa wengi wasio na hatia.”
Pope Francis yupo sahihi kabisa, waliotekwa waachiwe na mzingiro wa Gaza usitishwe..
 
Mkuu unajadili vita kiutani hivo
Vita ni nzuri sana kuleta maelewano ya kudumu. Bila vita choko choko huwa haziishi. Wangeachwa kwanza mpaka mmoja wapo aombe poo kwa mwenzie. Hiyo itaashiria kukubali kushindwa na kuacha kuchokoza hovyo hovyo.
 
Kwa nini hatusikii Netenyahu akipewa warrant ya kukamatwa na mahakama ya ICC kwa uhalifu anaoufanya huko Gaza strip kama ambavyo Putin kafanyiwa?
 
Vita ni nzuri sana kuleta maelewano ya kudumu. Bila vita choko choko huwa haziishi. Wangeachwa kwanza mpaka mmoja wapo aombe poo kwa mwenzie. Hiyo itaashiria kukubali kushindwa na kuacha kuchokoza hovyo hovyo.

War is the way of peace
 
Back
Top Bottom