Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja


Haya tuendelee...
 
Elewa hili ndilo kanisa la kwanza kabisa,na uliheshimu sana,wanajua A to Z ya mambo haya
Imeandikwa ,,wa kwanza atakuwa wa mwisho"

Pia ,, ajidhanie amesimama aangalie asije akaanguka.
 
Aliotoaa andikooo hili ndio aliangamiza MASHOGA, unamuonya vip mtu alievuruga maumbile yake? huko ni kumpigia mbuzi gitaaa, hakuna namnaaa zaidi ya KUUMBWA TENA
 
Kitendooo, cha kuwaitaa Mashoga ni watoto wa Mungu, hizi ni dalili za kuchanganyikiwa huyo Papa wako
Ungekuwa unasoma Biblia ungeelewa .
Biblia inasema watu wote wameumbwa na Mungu. Yeye papa ni nani hata akosoe haya.
Na Mungu anapotoa hukumu kama alivyofanya kule Sodoma ma Gomola ni sahihi kwani kwa mujibu wa makanisa ya kikristo mtoa hukumu ni Mungu.

Nimekwambia awali kuwa anachofanya papa ni kunawa mikono (yaani kuisalimisha nafsi yake). Anamwonyesha Mungu kuwa hawa watu aliwaonya lakini hawakusikia, hivyo mikono yake inabaki haina hatia kwani katimiza wajibu wake.



(Kama wewe ni mkristo utakuwa umeelewa.)
 
Shoga hawezi kuonyeka wewe, labda mumchukue MKAMUUMBE TENA , lakini sio kupiga kelele
Kama shoga akikataa kuonyeka hukumu inamsubiri na Pop mikono yake iko salama.
Issue ya ushoga ni issue inayokera sana watu wengi, nimeona hata wazungu pamoja na sheria zao kuwalinda mashoga lakini wanakerekwa sana na issue za kishoga. Mimi huwa sitaki hata kuwaangalia, wanatia kinyaa.

Nimerudia kusoma maneno ya Pop nimeona yamekaa kiuchungaji zaidi na si kibinadamu wa kawaida kama sisi tunaotamani ikiwezekana hawa viumbe wachinjiliwe mbali huko.
Yeye anawapa nafasi ya kutubu na kuacha usenge wao.
 
Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.

Inasikitisha sana ila basi tu.
Usiache imani yako sababu kiongozi wa hio imani kakubaliana na jambo usilolikubali, Msingi wa kanisa ni Yesu kristo, Sasa ukiangalia kiongozi anasema nini utapotea na shetani atachukua hio nafasi kukupeleka mahali usipotegemea. tubuni na kuiamini injili hakuna jipya chini ya jua.
 
Narudiaa tena USENGE ni kuharibu maumbile, hakuna namnaaa ya kuonyeka, labda muwachukue MKAWAUMBE TENA, acheni kupoteza Muda, Papa amepagawa kudai Mashoga ni watoto wa Mungu
 
Mashoga ni watu walioangamizwa, USHOGA huwezi kuacha kwasababu, umeingizwa dudu, sehemu isiyo rasmi, hivyo umeharibu uumbaji, njia PEKEE ya kumsaidia ni KUUMBWA TENA, kitu ambacho papa hawezi kufanya, Sasa anapoiwata mashoga ni watoto wa Mungu haya ni maajabu mengine ahaahahahaa
 
Aliyemtakatifu asiye na dhambi hata moja, achukue kisu amchinje Shoga.
 
Zile dini zetu za Kiafrika zilikuwa ndio dini ingawa waliziona za kishenzi.Mimi naamini hizi dini mbili ni project za kuwapeleka wanadamu kuzimu.
 
Hao kina pope,wana library ya maandiko ya zamani,yaliyozaa hiyo dini,hiyo library haingiagi mtu zaidi ya pope na makadinali wachache wa vatican,,hao ndo wanajua A to Z ya hiyo dini,,makabrasha original kabisa wanayo wao,hivyo wanajua
 
eBible
Login
Follow Question
0
How should we interpret, "There will be two men in one bed; one will be taken, the other will be left"? Is this referring to homosexuality?
I tell you, in that night there shall be two men in one bed; the one shall be taken, and the other shall be left. - Luke 17:34
Luke 17:34

ESV - 34 I tell you, in that night there will be two in one bed. One will be taken and the other left.
 
Hiyo biblia yenyewe wana mpango wa kuibadili vitu vingi sana ikiwemo kuondoa caluse ya "Mungu Baba" kwa madai kuwa inaendedekeza mfumo dume. Kwo wafia dini lazima wakubaliane nalo tu huko mbele.

Hii ina maana watoto watakaozaliwa miaka 100, 200 au 300 ijayo watakuta biblia ya namna hiyo na watajua ndio neno la Mungu kama vile biblia ya leo ilivyochakachuliwa miaka ya nyuma kuendana na matakwa ya waendesha dunia wakiwemo wenye dini wenyewe.

Ni ukweli mchungu though[emoji17][emoji17]
 
Hakuna shetani mkuu. Zote ni dhana za kutengenezwa tu. Binadamu wenyewe ndo shetani kulingana na matendo yao.
 
Kiufupi ni kwamba huna ubavu wa kutokomeza ushoga. fanya tu juhudi ya kuwaepusha wanao.
 
Siyo Musa alitoka Misri? Na Yesu alitoka Misri (walipokimbia Mariamu na Yusufu kabla ya mauaji ya watoto wa Bethlehemu) kabla ya kuanza kazi ya kuhubiri pale Palestina / Israeli (iliyowahi kuwa mkoa wa Misri, nchi ya Kiafrika) ???
Musa, Yosef and Yesu Mjudea wote hawakutoka misri..kule walikuwa ukimbizini
 
Niliwahi kusikia sana kuwa mapapa wanaharibu watoto kwa kuwabaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…