Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwani wale sodoma na gomora walisulubiwa na nani?.
hivi ushoga nao unataka mpaka mungu akupe adhabu ndo ujue KUWA ushoga ni mbaya?
Unajua kusoma kwa usahihi?Wapi nimesema kuwa mashoga wapewe Mungu ili ijulikane kuwa ushoga ni dhambi?Ulielewa point yangu?Point yangu ni kwamba kama ushoga ni dhambi mbaya sana kwa nini unakuwa na presha na kisukari kupanda wakati Mungu aliewaumba binadamu yupo hai?Mungu anaweza kuwaumba binadamu halafu ashindwe kuwacontrol pale wanapokengeuka?Hii inathibitisha kuwa Mungu mnaemuhubiri hamna imani nae.Hamna imani nae kwa sababu hayupo na ndiyo maana mnataka kuingilia na kuchukua majukumu yake.