mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
unajua kilichowapa sodoma na gomora?
Hahahahahaaaaaaaaa
Kuna jamaa mmoja hapo juu anasema kama Mungu anawachukia mashoga kwanini amewaacha hataki kuwaangamiza!
It makes sense to me as well.
Mungu awaangamize basi hao mashoga kama kweli anawachukia kwa dhati.
Akishindwa kuwaangamiza tuhitimishe kwamba aidha anawapenda au hana uwezo wa kuwaangamiza.
Na kama hana uwezo wa kuwaangamiza, basi biblia nzima imejaa maneno ya ulaghai na udanganyifu.
Tuliaminishwa mungu ni muweza wa yote, lakini kumbe hawezi kitu.
If the latter is not true, then God loves homosexuals.
Tuchagua moja kati ya hayo!
Ama mungu ni dhaifu, ama anawapenda mashoga.