Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Sasa mbona binadamu wanang'ang'ania kuadhibu mwanafunzi ambae yupo kwenye chumba cha mtihani?!

Na pia Mungu mwenye upendo wote na uwezo wote hawezi kukupa mtihani tena Mungu huyo anajua kabisa majibu ya mtihani wako kabla hata hujafanya mtihani huo.Yaani najua kabisa kuwa mtihani huu utafeli na bado nikupe mtihani huo?
Kufeli mtihani wa mungu ni uzembe wetu wenyewe sababu vitabu vya material (Holly books) tumepewa na walimu (prophets) pia tumepewa. Hivyo mungu akituadhibu huko baadae hatuna wa kumlaumu.
 
Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.

Inasikitisha sana ila basi tu.
Baada kua na akili na kuipitia sana biblia niligundua RC linaongozwa na sheria za kanisa sio maandiko ya biblia, na zina nguvu kuliko biblia kanisani, mwaka wa 15 huu sijui kanisa lafananaje, hata ibada za mazishi nakaa nje, hua nahisi mle ndani ni najisi tupu... Sala zenyewe nshasau
 
Kutoka kwenye source .. website ya kanisaa..sasa ukibishaa na hii polee ,mkuu..fungua akili yakoo mambo yapoo wazii ..

Pope calls parents of people with same-sex attraction to paternity and maternity
What you quoted was disputed by the Vatican Spokesman already. Somebody using technology impersonated the Pope to spread his own agenda. Anything emanating from Vatican would, of necessity, be announced by Vatican media, in the first place. The Church does not engage in public arguments with anybody through the media, whatever the allegation against the Church is. However, the denial was read in churches allover the world.
 
I can see this topic has gone viral in the social media arround the world! Celebration and thankful has emerged to some members of LGBT.

I think this is the time for Catholic Church to come and elaborate basing on the moral and Church's decision upon this issue.
Are you around the world...
The how did you know it went viral???
 
VATICAN WAMESEMA ..."

1. Maoni ya Papa kuhusu wapenzi ya jinsia moja yamechakachuliwa na kubadili maana...na tena wameunganishaunganisha vipande ikiwamo na vile vya mahojiano ya mwaka 2019 na kutengeneza ujumbe ambao ni wa uongo na Vatican haikubaliani nao.

2. Pamoja na ukweli kwamba Papa amewapmbea huruma wanaijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kuwaita ni watoto wa Mungu kama walivyo wasiojihusisha, ametaka wasitengwe au kutupwa nje ya familia ya Mungu

3. Jisomee mwenyewe kutoka SHIRILA LA HABARI LA KANISA KATOLIKI LA ROMA....https://www.catholicnewsagency.com/news/pope-francis-homosexuality-comments-heavily-edited-in-documentary-no-vatican-comment-on-civil-union-88210
 
Kuna muda tunapata nguvu yakuona zaidi madhaifu ya wengine kuliko ya nafsi zetu......

Kuendelea kutenda dhambi ndio hatari kuliko kutubu.

Hata yesu walimwambia anakula na wadhambi hivyo tunapaswa kuishi maisha yatakayowavuta kuacha huo uovu......
Mfano mdogo tu, leo hii tunapinga vitendo vya ushoga huku nyuma ya pazia tunawaingilia kinyume wanawake tunaokutana nao kimwili tukiwa faragha....
INATUPASA KUOMBA NEEMA YA MUNGU ILIKUBADILIKA.....

Baba mtakatifu alitoa maoni ilikutuonyesha kuwa kuwapenda wanaotuudhi kwa kulipia jema katika ubaya.

Nafikiri,Mwisho wa siku motoni sio kwa ajili ya mashoga na wasagaji pekee bali kwa kila uovu machoni pa Mwenyezi Mungu
 
Hivi huyu si ndio yule papa aliyekua anapigana mabusu ya mdomo na imam?
 
Papa kazingua sana,ushauri kila muumini atawanyikie anapoapajua kuokoa roho take,au papa adondoshwe tu
Hio ni laana kwa kanisa
 
Are you around the world...
The how did you know it went viral???
I think you are either lazy or crazy if not insane! Everything nowdays is on your finger tips!

You can explore alot of info in any country within few seconds. But funny enough some social media has develiped something know as " trending news or info in a given place"

Go and learn how to search and extract
Are you around the world...
The how did you know it went viral???

Are you around the world...
The how did you know it went viral???
 
Zinaweza zikawa zipo nyingi unaweza ukaorodhesha chache ili tujue ipi ni haki ya mwanamke na ipi ni ya mwanaume. Toa mifano michache
Mfano:- haki ktk ndoa,haki za mwanamke juu mumewe...kulishwa,kuvishwa,kulindwa n.k na haki za mwanaume juu ya mkewe...kuheshimiwa kama kiongozi,kupewa unyumba, n.k

Hiyo mifano imebezi upande wa dini hasa Imani ya kiislamu.
 
Unajielewa mkuu?Huu uzi unamzungumzia Papa kuhalalisha ushoga.Papa anatumia Quraan?Hapa tunachambua tamko la Papa kuangalia kama ni sawa kwa mujibu wa vitabu wanavyotumia wakatoliki pamoja na Papa.Sasa mambo ya Quraan yanatokea wapi tena?
Vijana mnachekesha sana, kuupinga ukweli ni ngumu sana yaani haiwezekani.

Achilia mbali tu suala la dini, ila suala la Ushoga na usagaji akili timamu ina kataa, hili jambo. Mnapoambiwa ukweli dawq yale ni kuukubali na ibakie tu kuufanyia kazi au kuuacha, ila kuupinga tena pasi na hoja ni matumizi mabaya ya akili.

Mwenzako huko juu, alitoa andiko toka katika Biblia, lakino ukilosoma halionyeshi ya kuwa wale wahalifu walikuwa ni mashoga na wasagaji. Lakini tangu lini shoga au msagaji akawa muhalifu ? Bali wao ni waovu na watenda dhambi chafu kupata kutokea hapa duniani.

Akili iliyo salama, hujiuliza kwanini kuna mwanamke na kuna mwanaume ? Kwanini mwanaume akimuingilia mwanamke hupata mimba na hatimae kupata mtoto (Hapa kwa wale ambao si tasa). Sasa lengo la mwanaume kuumbiwa mwanamke ni wapendane na wahurumiane na kisha wapate uzao Mola akitaka. Je lengo la mashoga na wasagaji ni kufurahishana na kutumia akili vibaya, na si kutumia viungo vya uzazi inavyotakiwa na ndiyo lengo kuu.

Sasa jalia tunaongelea Biblia, je Biblia inasemaje kuhus Ushoga ? Inaruhusu ? Je Biblia inasemaje kuhus Sodoma na Gomoroa ?

Huwezi kuwa na akili timamu ukaupigia chapuo ushoga na usagaji. Na tafiti zinaonyesha ya kuwa wale wote wanao fanya mapenzi ya jinsia moja huwa ni wagonjwa wa akili.

Yaani ni sawa sawa, chakula ukipitishie sikioni au puani wakati njia sahihi na stahiki ni Mdomoni.

Acheni uhayawani. Ila cha moto mnakiona wale wote mnao shiriki mapenzi ya jinsia moja na Allah awalaani.
 
Mimi sijakufananisha na Yesu.Nilitaka kukuonyesha kuwa kila kitu kina kanuni na misingi yake.Misingi katika dini ni kujibu maswali yote bila kujali swali hili ni la kejeli au ni swali la kujifunza na ndivyo Yesu alikuwa anafanya.

Habari za Yesu nimezitoa katika mafundisho ya Phylosophy.Unaelewa kuwa Yesu alikuwa ni mwana Phylosophy?Unaelewa kuwa Yesu anatajwa na kutumika sana katika mafundisho ya Phylosophy?Mimi namsoma,kumtambua na kumwamini Yesu kama mwana Phylosophy na si vinginevyo.
Wapi huyo Yesu alijiita yeye mwana philosophy.?...au alivyoondoka aliacha vyeti vya u philosophy..?

Au ndo tunamsemea...kwani yeye alikuwa bubu?

Inawezekana vipi umwamini na kumtambua Yesu afu ukashindwa kumwamini na kumtambua Mungu..?? Au ndo unasoma kinyumenyume,elimu za kichawi..?
------------------------------------------_-------------
Majibu hujibiwa kulingana na uelewa wa muulizaji,usishangae ukamuuliza mtu swali afu akakaa kimyaa ukasema eti ajakujibu....laaa,jua kwamba kukaa kimya nalo jibu.

Mjinga na asiekuwa mjinga wanaweza wakauliza swali la aina moja but wakajibiwa tofauti...

Na wanafiki na wajinga wanapojibiwa huwa wanaona hawajajibiwa kwasababu tayari wanamajibu yao Kwenye vchwa vyao....hvyo hulazimisha majibu yafanane.
 
Nadhani hapa ndipo wau wenye akili mchundo hawajamuelewa. Hajabariki ndoa hizo, lkn ikitokea mtu akawa kwenye kundi hilo "asipigwe mawe mpaka kufa", sheria imlinde maana naye ni binadamu!
Acha kutetea ujinga...

Wee ushaona wapi mbuzi beberu kumpanda beberu mwenzake....utajisikiaje siku uwe na mtoto shogaa.

Afu kaa ukijua ushoga si kilema useme mtu anazaliwa nacho..

Pia msifia mvua imemnyea....Nina wasiwasi na papa (100%)
 
Pop amesimamia maandiko. Kama hujui maandiko ndipo unaweza lalama kama wengine walio install Bible app lakini hawajawai ifungua.
Yesu alisema ,, sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi"
Mwenye dhambi hakataliwi mbali bali huhubiriwa ili aache dhambi zake na amgeukie Mungu. Akishindwa kuacha basi atakufa katika dhambi zake na wewe uliyemwonya unabaki safi.
 
Back
Top Bottom