Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani

Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Haya tena Papa Francis naye acharuka:

IMG_20241007_143952.jpg


Hivi hawa wenye kujua kinacho hitajika kuwa ni kukaa chini na kuongea amani ni wafuasi wa nani?

IMG_20241007_143328.jpg


Kwamba siyo wenda wazimu?

Ni maswali nyeti sana haya kwa wenye akili zao.
 
Kama kuna mapapa waliokosa imani au kuaminika na wakristo wengi huyu ni mmoja wapo, tena Israel wala ndio kabisa hawajui kama yupo au la, kipigo kipo pale pale kwa Iran
 
Kama kuna mapapa waliokosa imani au kuaminika na wakristo wengi huyu ni mmoja wapo, tena Israel wala ndio kabisa hawajui kama yupo au la

Kumbe Kuna wafuasi wa mnyaazi Mungu na wa nani?
 
Wewe badala ya kuenda msikitini kumuombea Paedophile na poof na queer wenu Mohammad, unahangaika na Pope
View attachment 3117914

Papa anahusika vipi kwenye bandiko lako uchwara hili?

Si ndiyo maana vibandiko vyako uchwara vinafutwa na kufichwa huko, left right and center, halafu unaanza kulia lia?

Bure kabisa!

NB: hakuna vita vya kidini Gaza na wanaojua hivyo ni pamoja na Papa Francis!
 
joex nakuona mnapepea bendera ya taifa teule hapa:



Vipi wewe ni huyo support staff hapo?

"Huu si ndiyo ule ugonjwa anaongelea Papa?"
 
Tuliambiwa Papa na Vatican ndio kila kitu sasa mbona n yeye anaishia kulalamika tu?

Ukristo ni dini ya upendo na amani. Papa ni mfano wake.

Hata panapo machizi wenye silaha anawalilia hali kuomba amani na busara kutamalaki.

Na huu ndiye Papa Francis katika ubora wake.

Hukusikia ukristo haulipizi ubaya Kwa ubaya?
 
Back
Top Bottom