Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

Utakuwa unatoa mfereji wewe yaani tuache watoto wafanyiwe vibaya ,kama ni vyema wewe na huyo papa muanze kuolewa
 
Wakatoliki wameanza kutekeleza mipango yao toka enzi ya Constantine.Ilipangwa kwamba nyakati zikifika desturi za Rumi ya kale zitarejeshwa.Moja ya mambo hayo ni ushoga.Sasa Roma imesema msije kisema haijasema,Roma imetamka hakuna wa kupinga.
Wao tayari bado Islam lakin kwa idadi ya mashoga duniani Islam nayo shuhuli nzito akina haya wa Zenji
 
Idadi ya mashoga imeongezeka sana kiasi kwamba anaumiza sana akili afanyaje, manake akitenga atabakiwa na waumini wachache sana
Mashoga wanaongezeka sababu kanisa katoliki mumeamuws ku-promote ushoga mukiacha ushoga utakufa!!!!!
Papa amechanganyikiwa na hizi kesi za ushoga anaona vijana wote wanakimbilia kutafunana wao kwa wao sasa anasikitika watabebwa na dini gani
Alipangalo mungu hatuwezi kulipangua, mungu kapanga jinsia 2 ya kike na kiume, kuowana na kupata mapenzi na huruma!!!!
 
Anazingatia haki za binadamu, wote ni watoto wa Mungu, huenda kawaruhusu kuchagua starehe wanayopenda. Binadamu kagundua kinyume na maumbile ni starehe iliyokubuhu, Mungu kawabariki kwa utundu wao wa ugunduzi. Papa nae anawakubali. Big up Papa!
 
Kwa hiyo angekuwa na cheo cha Umungu asingeiteketeza miji ya Sodoma na Gomoro sababu atawaudhi waumini? halafu mnamuita mtakatifu, mtakatifu anapingana na maamuzi ya Mungu
 
Kwa hiyo angekuwa na cheo cha Umungu asingeiteketeza miji ya Sodoma na Gomoro sababu atawaudhi waumini? halafu mnamuita mtakatifu, mtakatifu anapingana na maamuzi ya Mungu
Papa yeye anasema watu wachapane fimbo vipi mnamwelewa?
 
Kuna hawa waliopita viwango mpaka umvue chupi ndio utajua, hata akiingia kanisani huwezi kujua....


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…