Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

Takwimu alizopokea Papa zimemfikirisha mara kadhaa na kuona kuwa endapo akiwatenga mashoga basi atabaki na idadi ndogo sana ya waumini wa Katholiki, ili kuzuia anguko hilo akaona awaruhusu mashoga kuwa waumini wa kanisa la Katholiki.
Njia ya kwenda mbinguni lazima iwe nyembamba, na waendao lazima wawe wachache. Huu ndio msingi wa neno la Mungu.
Papa ni wakala wa Mungu au Shetani?
 
PKuna askofu kutoka marekani amemtolewa uvivu papa Kisha papa akamtimua uaskofu

jamaaa amekataa hoja za papa Moja kwa moja bila kipepesza maneno

Papa IPO siku ataruhus watu wachakatane kanisani
 
Njia ya kwenda mbinguni lazima iwe nyembamba, na waendao lazima wawe wachache. Huu ndio msingi wa neno la Mungu.
Papa ni wakala wa Mungu au Shetani?
Papa amechanganyikiwa na hizi kesi za ushoga anaona vijana wote wanakimbilia kutafunana wao kwa wao sasa anasikitika watabebwa na dini gani
 
Ndugu zangu tuzungumze kwa uwazi kuhusiana na uamuzi wa Papa Francis kuwapa mashoga uhuru

Wakosoaji wakubwa wa uamuzi huu ni madhehebu mengine yasiyo ya Katholiki huku wakidai kuwa dini ya Katholiki inaruhusu ushoga

Kabla ya kumtuhumu Papa ni kuwa idadi ya mashoga duniani imeongezeka sana kiasi kwamba inatishia idadi ya wale wasio mashoga. Takwimu alizopokea Papa zimemfikirisha mara kadhaa na kuona kuwa endapo akiwatenga mashoga basi atabaki na idadi ndogo sana ya waumini wa Katholiki, ili kuzuia anguko hilo akaona awaruhusu mashoga kuwa waumini wa kanisa la Katholiki.

Wenzangu wa madhehebu mengine wakiwemo Waislamu, Wahindu na wengineo, mnapomnyooshea kidole Papa mnamaanisha kuwa hakuna muumini wetu hata mmoja duniani ambaye ni shoga.

Swali la kujiuliza, je katika dhehebu lako hakuna muumini wenu hata mmoja duniani ambaye ni shoga?

Turejelee msemo wa kuwa kabla hujatoa boliti katika jicho la mwenzako basi hakikisha katika jicho lako umekwishatoa!
Kwa hiyo kanuni na sheria za Mungu plus dhambi inabadilika kuwa halali kutegemea idadi ya wanaofanya ikiwa kubwa au sio?
Ukweli usemwe jamaa kapuyanga na hii inaonyesha kwamba hapa kuna imani ya mchongo.
Usitetee uovu kemea haijalishi kausifia nani.
Kwani dini ni biashara kwamba wateja wakipungua huuzi....
 
Anaogopa kanisa kukosa waumini ndio mana anataka watu watafunane ila bado wawepo kanisani
 
Ushoga ndio dhambi pekee?

Je shoga anatakiwa atengwe na jamii?

Hata tusiende mbali kwenye familia kukiwa na shoga anatengwa au kuuwawa?

Dini zote zinatupokea bila kujali udhaifu na dhambi zetu kwa nini ushoga ndio inaonekana haifai?vipi kuhusu wizi,ukahaba,uuaji,ufisadi na kadhalika?hizo sio dhambi

Nafikiri ifike pahala kazi ya kuhukumu aachiwe Mungu kama binadamu tuishi tu kwa kuvumiliana na kuchukuliana.
 
Back
Top Bottom