Papa Francisco aridhia ombi la Askofu Telesphor Mkude wa Jimbo Katoliki Morogoro kung'atuka kutoka madarakani

Na kuna Askofu Norbeti Mtega wa Jimbo Kuu Songea,nae ni muda mrefu sasa nilisikia alitolewa na kupelekwa Njombe kwenye nyumba ya uangalizi baada ya kuwa na kashfa ya kuzalisha wadada[emoji134][emoji134],sijui kama ni kweli nilisikia tu
 
Kanisa Katoliki bado lina changamoto kubwa ya upungufu wa majego.. Waumini mpunguze ubahili mtoe pesa mjenge sharika muache kusalia majumbani kwa watu.. Uvivu wa kujenga majengo umepelekea kugeuza nyumba za watu kuwa makanisa kiasi kwamba wasioupenda utaratibu huo wa jumuiya mnawanyima huduma za kikanisa kama vile ubatizo ambao Bwana wetu Yesu Kristo aliuleta kwa watu wote bila masharti.. Hii kwa mtazamo wangu, si sawa!
 
Waumini wanatoa hela inajengwa shule Ada milioni 2.5[emoji849]

Hospital gharama juu[emoji849]
 
Kanisa Katoliki bado lina changamoto kubwa ya upungufu wa majego.. Wauminu mpunguze ubahili mtoe pesa mjenge sharika muache kusalia majumbani kwa watu.. Uvivu wa kujenga majengo umepelekea kugeuza nyumba za watu kuwa makanisa kiasi kwamba wadioupenda utaratibu huo wa jumuiya mnawanyima huduma za kikanisa kama vile ubatizo ambao bwana wetu Yesu Kristo aliuleta kwa watu wote bila madharti.. Hii kwa mtazamo wangu, si sawa!
Acha uongo, kanisa katoliki halina upungufu wa majengo / Parokia, kwa maana kila eneo mahalia kuna Parokia mahalia yenye kutosheleza waamini wake, wakiwa wengi zaidi huongeza kigango na kinakuwa chini ya Parokia mahalia. Kuhusu kusali kwa majumbani hizo ni mikutano na majumuiko ya jumuia ndogondogo za Kikatoliki za Kikristu, lengo ni kufahamiana, na zisizidi familia 20 katika eneo mahalia, kutoka jumuiya zinaunda Mtaa/ kanda kisha ndio inakuja Parokia.
 
Waumini wanatoa hela inajengwa shule Ada milioni 2.5[emoji849]

Hospital gharama juu[emoji849]
Idadi ya washarika imeongezeka kwa wingi.. Majengo yanalemewa.. Piga picha pale Morogoro mjini kuna Wakatoliki zaidi ya laki mbili.. Je, sharika zilizopo pale Moro mjini zina uwezo wa ku accomodate waumini wote, iwapo wote wataamua kuhudhuria kwenye misa? Jibu ni hapana.. So kanisa linapaswa lihakikishe linakuwa na majengo ya kutosha ku accomodate angalau 75% ya waumini iwapo wote wataamua kuhudhuria ibada kwa siku moja.. Jiwekeeni lengo la kufikia huko.
Jumuiya msizifanye minyororo kwenye shingo za waumini.. Baseline standard ni 'Kuikumbuka siku ya Bwana na kuitakasa', yani Jumapili. Kuwalazimisha waumini na kuwa sanction wasio sali kwenye jumuiya Jumamosi huwa mnaitoa kwenye Biblia gani? Kwa nini mnaenda nje ya scope na kutaka kuligeuza kanisa kuwa kama la Kisabato?
 
Uaiposali jumuiya hupati huduma yeyote ya kanisa

Hizi ishu hizi

Mfano Mimi huwa najitahidi sana nihudhurie church Ila huko jumuiyani sinaga mzuka nako

Ila ndio hivyo unawekwa blacklisted
 
Idadi ya washarika imeongezeka kwa wingi.. Majengo yanalemewa.. Piga picha pale Morogoro mjini kuna Wakatoliki zaidi ya laki mbili.. Je, sharika zilizopo pale Moro mjini zina uwezo wa ku accomodate waumini wote, iwapo wote wataamua kuhudhuria kwenye misa? Jibu ni hapana.. So kanisa linapaswa lihakikishe linakuwa na majengo ya kutosha ku accomodate angalau 75% ya waumini iwapo wote wataamua kuhudhuria ibada kwa siku moja.. Jiwekeeni lengo la kufikia huko.
Jumuiya msizifanye minyororo kwenye shingo za waumini.. Baseline standard ni 'Kuikumbuka siku ya Bwana na kuitakasa', yani Jumapili. Kuwalazimisha waumini na kuwa sanction wasio sali kwenye jumuiya Jumamosi huwa mnaitoa kwenye Biblia gani? Kwa nini mnaenda nje ya scope na kutaka kuligeuza kanisa kuwa kama la Kisabato?
Wewe sio Mkatoliki hivyo huwezi kujua chochote kuhusu Ukatoliki.
Sisi hatuna washirika, kuna waamini au wana parokia.
Usipotoshe watu.
 
Ni kweli boss kafikia muda wa kustaafu Kama inavyotakikana, unajua ni kwanini alikuwepo msimamizi wa kutumia jimboni morogoro Padre msimbe anaesimamia masuala yote yakichungaji Kama askofu miaka karibu miwili kabla ya huyo askofo kustaafu?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Askofu Mkude kuna kipindi takribani miezi 7 (2017/2018) alikuwa hajiwezi kwa maradhi ndo maana akapelekwa msaidizi kusimamia shughuli za Kichungaji,Morogoro lingekuwa jimbo kubwa kama Dar pangekuwa na askofu msaidizi ila hekima za Pope akamsimika Frt Msimbe asimamie Jimbo kwa muda na amini kwamba hakuna alilokuwa analifanya Frt Msimbe likakosa baraka za Askofu Mkude.

Pamoja na afya lakini kuna la ziada boss haliwezi kusemwa. Jana tu kwenye maziko ya askofu banzi Kama uliona happy alikuwepo lakini kwenye utambuzi alisahaulika mpaka askofu Alie kua karibu na Padre kitima alimkumbusha ndio akatambua uwepo wake.
Kwa mtu Kama askofu mkude ambae alimuachia kiti askofu banzi, na ambae pia wote walitoka Jimbo moja la morogoro ilikua sio mtu was kusahaulika kwenye utambulisho.

Kila mtu anasahau kuwa Padre siyo ndiyo kutokuwa msahaulifu,protocal penye mkusanyiko wa watu wengi inashauriwa uutambue uwepo wa kundi fulani ili isitokee umsahau mmoja wao(ni kusema angesema tu kwamba “Natambua uwepo wa Maaskofu kutoka majimbo mbalimbali ya Tanzania)ila pia inawezekana Padre anajua taarifa za Askofu Mkude kuwa afya yake ni tia maji tia maji so akahisi tu hawezi kuwa pale kwa wakati ule ndo maana hakuweza kuangaza macho kumtafuta.

Usitegemee viongozi wa Kanisa kuonyesha tofauti zao hadharani kama tunavyofanya huku mitaani mpaka kujulikana hilo sahau,inaweza kuwepo tofauti ila ikajulikana na ngazi za juu tu waumini wasijue chochote.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe sio Mkatoliki hivyo huwezi kujua chochote kuhusu Ukatoliki.
Sisi hatuna washirika, kuna waamini au wana parokia.
Usipotoshe watu.
Sihitaji kujua chochote kuhusu dini nyingine.. Napaswa kujua maandiko ambayo nimeyasoma kwa kuyarudia rudia mara nyingi.. Maandiko yanasema kwenye amri kumi za Mungu, ' Ikumbuke SIKU ya Bwana na kuitakasa! Kwanini kanisa liwawekee vikwazo waumini ambao wameamua kutoikumbuka siku isiyo ya Bwana yani Jumamosi? Hizo standard mmezitoa kwenye Biblia ipi?
 
Kanisa Katoliki bado lina changamoto kubwa ya upungufu wa majego.. Waumini mpunguze ubahili mtoe pesa mjenge sharika muache kusalia majumbani kwa watu.. Uvivu wa kujenga majengo umepelekea kugeuza nyumba za watu kuwa makanisa kiasi kwamba wasioupenda utaratibu huo wa jumuiya mnawanyima huduma za kikanisa kama vile ubatizo ambao Bwana wetu Yesu Kristo aliuleta kwa watu wote bila masharti.. Hii kwa mtazamo wangu, si sawa!
Wewe siyo mkatoliki hujui maana ya JUMUIYA
 
Umesemaje wewe Msabato masalia?

Subiri jumamosi keshokutwa ukasali kwenye mabanda yenu ya mabati acha kuandika vitu usivyovijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe siyo mkatoliki hujui maana ya JUMUIYA
Biblia haijaandikwa kimakosa.. Amri kumi za Mungu zinasema ikumbuke siku.. Mungu pia alikuwa ana uwezo wa kusema, zikumbuke siku zote za wiki na kuzitakasa.. Lakini yeye alitaka tumwabudu (katika roho na kweli) siku zote ila tutenge siku moja ya kumuadhimisha ambayo ndio iyo J pili.. Sasa kwanini mnaongeza idadi ya siku na kuzifanya ziwe mbili? Mkuu, huenda nakosea.. Kama kuna toleo jipya la maandiko (Biblia) ambalo limeboreshwa naomba unishtue nisijekuwa nasoma maandiko outdated! Maagizo ya wanadamu yamewakwaza watu wengi na kuwarudisha nyuma kiroho hivyo kudondokea kwenye mikono ya mitume na manabii wa uongo.. Ndio maana kama kanisa lazima tusimamie kwenye maandiko ya mitume na manabii ambao juu ya miamba hiyo, Yesu Kristo alilijenga kanisa.
 
Wewe ni msabato ukatoliki haukuhusu
 
Ulivyo na upumbavu wa kisabato, uzi unaenaeleza kustaafu kwa askofu MKUDE wewe unavamia na ujinga wako
 
Sihitaji kujua chochote kuhusu dini nyingine.. Napaswa kujua maandiko ambayo nimeyasoma kwa kuyarudia rudia mara nyingi.. Maandiko yanasema kwenye amri kumi za Mungu, ' Ikumbuke SIKU ya Bwana na kuitakasa! Kwanini kanisa liwawekee vikwazo waumini ambao wameamua kutoikumbuka siku isiyo ya Bwana yani Jumamosi? Hizo standard mmezitoa kwenye Biblia ipi?
Mkuu hujaisoma vizuri biblia, ni vyema ukatafuta msaada usaidiwe
 
Kanisa Katoliki bado lina changamoto kubwa ya upungufu wa majego.. Waumini mpunguze ubahili mtoe pesa mjenge sharika muache kusalia majumbani kwa watu.. Uvivu wa kujenga majengo umepelekea kugeuza nyumba za watu kuwa makanisa kiasi kwamba wasioupenda utaratibu huo wa jumuiya mnawanyima huduma za kikanisa kama vile ubatizo ambao Bwana wetu Yesu Kristo aliuleta kwa watu wote bila masharti.. Hii kwa mtazamo wangu, si sawa!
Katoliki hiihii ina upungufu wa majengo??labda hayo makanisa yenu ya mabati..
.
Na jumuiya ni utaratibu wa muda sana sio ishu ya majengo ficha chuki zako na upumbavu wako
 
Kanisa Katoliki bado lina changamoto kubwa ya upungufu wa majego.. Waumini mpunguze ubahili mtoe pesa mjenge sharika muache kusalia majumbani kwa watu.. Uvivu wa kujenga majengo umepelekea kugeuza nyumba za watu kuwa makanisa kiasi kwamba wasioupenda utaratibu huo wa jumuiya mnawanyima huduma za kikanisa kama vile ubatizo ambao Bwana wetu Yesu Kristo aliuleta kwa watu wote bila masharti.. Hii kwa mtazamo wangu, si sawa!
Aisee mkuu wewe ni muongo sana. Kuna taasisi yenye makanisa kama RC? Yaan wewe ni muongo mno. Na ni wapi hapo uliposikia ama kuona rc wanasali kwa watu? Kuna taasisi yenye pesa kama RC?
Bila shaka utakua mluther mkuu maana umetumia neno sharika. Punguza uongo. Nyie ndo mnaanza kuanka sasa hivi almost kwa kila kitu leo hii ndo wa kutushauri nyie?[emoji23][emoji23] shule na hospital sindo mnaanza anza kujenga nyie? Na hata kusikika hazisikiki bado?
 
Acha uongo, kanisa katoliki halina upungufu wa majengo / Parokia, kwa maana kila eneo mahalia kuna Parokia mahalia yenye kutosheleza waamini wake, wakiwa wengi zaidi huongeza kigango na kinakuwa chini ya Parokia mahalia. Kuhusu kusali kwa majumbani hizo ni mikutano na majumuiko ya jumuia ndogondogo za Kikatoliki za Kikristu, lengo ni kufahamiana, na zisizidi familia 20 katika eneo mahalia, kutoka jumuiya zinaunda Mtaa/ kanda kisha ndio inakuja Parokia.
Jamaa amekua muongo mpk nimeshangaa. Naamini hata hajui anachokiongea. Sijawahi ona ama kusikia RC tukifanya ibada ya j2 kwa watu. Zaidi najua ni jumuiya ndogondogo ambazo tunazo toka miaka ya hukoooo. Luther ndo naona wana jumuiya siku hizi. Atuambie wapi huko. Eti kukosa huduma kisa hawajajenga? Anajua sababu za kukosa huduma kweli huyu?
 
Back
Top Bottom