Papa Francisco aridhia ombi la Askofu Telesphor Mkude wa Jimbo Katoliki Morogoro kung'atuka kutoka madarakani

Aiseee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nakushauri pumzikaaaa. Achaaaa kusema vitu ambavyo hata si vya kanisa lako. You know nothing kabisa. Unajichoresha sana. Stick na kanisa lako. Aliyekuambia hiwa ibada ni moja ni nani? Sharika sharika sharika sharika. Mbona nyie mumegeza mambo ya jumuiya? Na unajua lengo la jumuiya haswa ukiacha hii michango? Na wajua kama jumuiya ndiyo sehemu kubwa kabisa na pekee ambapo michango hukusanywa kirahisi? Ama ulifikiri tunaenda kumpelekea paroko? Na hiyo idadi ya laki 2 umeitoa wapi? Na ni kanisa gani hapa tz lina accomodate waumini laki 2 kwa pamoja? Pumzika aisee
 
Katoliki hiihii ina upungufu wa majengo??labda hayo makanisa yenu ya mabati..
.
Na jumuiya ni utaratibu wa muda sana sio ishu ya majengo ficha chuki zako na upumbavu wako
Yaan miaka ya early 90s nimekuta tunasali jumuiya. Na ukute hata hizi jumuiya tunazo kabla hata masalia haijazaliwa
 
Mkuu hii ni takataka
 
Mkuu hujaisoma vizuri biblia, ni vyema ukatafuta msaada usaidiwe
Mkuu, Biblia nimeisoma karibu yote tena ile ya vitabu 99, kama mistari nimeiruka basi itakuwa michache michache.. Pia nimesoma sehemu kubwa ya supplementary books kama vile, John Gills exposition of an entire Bible, Dramatized audio bible na sasa naendelea kusoma mstari mmoja ila kwa perspectives ya version nyingi za Biblia ya kingereza kama inavyoonekana kwenye screen shot.


 
Uaiposali jumuiya hupati huduma yeyote ya kanisa

Hizi ishu hizi

Mfano Mimi huwa najitahidi sana nihudhurie church Ila huko jumuiyani sinaga mzuka nako

Ila ndio hivyo unawekwa blacklisted
Na kusali jumuia huwa tunakaribisha wambeya wengi majumbani,ni sawana kulazimishana kuwa na urafiki na mtu usiyempenda,hata Lutheran nao tayari wameiga haya ya jumuia,kinachoshangaza wote mnaokutana kwenye jumuia ni wale ambao mnasali pamoja kanisani siku ya Jumapili. Kwa hili la jumuia ni usumbufu tu kwa wana kondoo ambao wanataka kupumzika siku ya Jumamosi,kama kukutana inatosha kukutana huko huko kanisani.
 
Wakatoliki naomba mnijibu 1.Padri wa RC anastaafu akiwa na miaka mingapi?

2.Kwanini askofu anazikwa Kanisani,baada ya miaka kadhaa kanisa si linaweza kujaa makaburi ya maaskofu?
 
Ok hongera sana kwa juhudi hizo mkuu. Unaufahamu mstari unaosema "Mimi ndiye njia, ukweli na uzima"? Basi kama unaufahamu unaamini kuwa popote penye ukweli pana Yesu Kristo! Sasa ukweli hauwezi kupindishwa popote pale ulipo. Ukiacha hao kina John Gills, umesoma waandishi wangapi wa Kikatoliki wakichambua Biblia au tu vitabu vingapi vya Kikatoliki? Unaogopa ukivisoma utagundua ukweli na unauogopa ukweli au ni umeambiwa na binadamu mwenzio usivisome huna uwezo wa kuchambua ukweli na uongo?
 
Endelea kutokula kambale na mbuzi wetu pendwa usijifanye kuukosoa ukatoliki
 
Huyo siyo mlutheri ni wale wapinga kambale, Bata, na mbuzi wetu pendwa
 
Na kuna Askofu Norbeti Mtega wa Jimbo Kuu Songea,nae ni muda mrefu sasa nilisikia alitolewa na kupelekwa Njombe kwenye nyumba ya uangalizi baada ya kuwa na kashfa ya kuzalisha wadada[emoji134][emoji134],sijui kama ni kweli nilisikia tu
Kwa kweli hawa wachunga kondoo halafu wanawatafuna Ni noma kwakweli bora wangekula nyasi,,,,,Gwajiboy a k a mbung'o wa Kawe
 
Jumuiya siyo kwa sababu ya kukosa majengo bwashehe.Ni kufahamiana,kusaidiana na kujenga umoja katika Kristu kama ambavyo yeye alivyokuwa ameshikamana na wale Thenashara.Au nasema uongo ndugu zangu!
 
πŸ™„πŸ™„πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…