balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hapa mfalme Constantine alikuwa na jambo lake.Wakatoliki naomba mnijibu 1.Padri wa RC anastaafu akiwa na miaka mingapi?
2.Kwanini askofu anazikwa Kanisani,baada ya miaka kadhaa kanisa si linaweza kujaa makaburi ya maaskofu?
Upadre ni wa kudumu, wa maisha! Uaskofu pia vile vile, ukisikia askofu amestaafu ujue tu kaacha majukumu ya kuongoza jimbo lakini daraja lake la uaskofu lipo pale pale.Wakatoliki naomba mnijibu 1.Padri wa RC anastaafu akiwa na miaka mingapi?
2.Kwanini askofu anazikwa Kanisani,baada ya miaka kadhaa kanisa si linaweza kujaa makaburi ya maaskofu?
Hata mfumo wa jumuiya nao wameanza kuiga hivi karibuniAisee mkuu wewe ni muongo sana. Kuna taasisi yenye makanisa kama RC? Yaan wewe ni muongo mno. Na ni wapi hapo uliposikia ama kuona rc wanasali kwa watu? Kuna taasisi yenye pesa kama RC?
Bila shaka utakua mluther mkuu maana umetumia neno sharika. Punguza uongo. Nyie ndo mnaanza kuanka sasa hivi almost kwa kila kitu leo hii ndo wa kutushauri nyie?[emoji23][emoji23] shule na hospital sindo mnaanza anza kujenga nyie? Na hata kusikika hazisikiki bado?
Yes. Hawakua nao. Sielewi huwa kwann watu wanatuattack kisha wanatuiga. Anyways... we are THE MOTHER CHURCH acha wachukue kila kitu chetuHata mfumo wa jumuiya nao wameanza kuiga hivi karibuni
Ha ha ha ha na wao huwa wanatumia washarika kumbe? Yaani naogopa kuongea kwa confidence hv jamani. Khaaa.... huwa wasabato waliona sehemu ya kutoboa ndo wapitie kwetu?Huyo siyo mlutheri ni wale wapinga kambale, Bata, na mbuzi wetu pendwa
Huu utaratibu wa KKKT kusali Jumuia siku ya Jumamosi unanikera sana yani!Na kusali jumuia huwa tunakaribisha wambeya wengi majumbani,ni sawana kulazimishana kuwa na urafiki na mtu usiyempenda,hata Lutheran nao tayari wameiga haya ya jumuia,kinachoshangaza wote mnaokutana kwenye jumuia ni wale ambao mnasali pamoja kanisani siku ya Jumapili. Kwa hili la jumuia ni usumbufu tu kwa wana kondoo ambao wanataka kupumzika siku ya Jumamosi,kama kukutana inatosha kukutana huko huko kanisani.
Unajua kuhusu muda wa kusali ni wanajumuiya wenyewe kuamua si lazima asubuhi. Enzi hizo tulikua tukisali jioni.Huu utaratibu wa KKKT kusali Jumuia siku ya Jumamosi unanikera sana yani!
Umehangaika kila siku kuamka saa 11 kuwahi kibaruani ukitarajia Jumamosi walau upumzike na Jumapili walau uamke saa nne uende ibadani, lakini kanisa likaona litunyang'anye hata siku moja tu ya Jumamosi kupumzika kwa kuwa na ibada za kijumuia!
Sasa kama nitasali na kutoa sadaka Jumamosi, Jumapili niende kanisani kufanya nini?...yani niwe na siku mbili za kuabudu?
Huku kwenye Jumuia ndipi sehemu Kanisa limewekeza nguvu katika kukufanya sadaka na Michango ya miradi mbalimbali ya kanisa!...yani huchomoki!
Baada ya kusali ni maelezo ya kiasi gani mtaa unadaiwa pesa za kufanikisha hostel au gari la Mchungaji!...inaudhi na Jumapili kanisani sadaka na michango ileile inatolewa tena!
Ni kweli kabisa linatakiwa likue, lakini kukua kwa kanisa kusiendane na kupotea kwa "Misingi" ya kanisa!
Hao mashemasi walivuliwa upadri au wameendelea na upadri?Na mie najua alipadrisha mashemasi Vimeo.... Ndio akaliwa kichwa na Mamlaka.
Mie Jumuia siiipendi kwa kweli!...umbea umbea tu!Unajua kuhusu muda wa kusali ni wanajumuiya wenyewe kuamua si lazima asubuhi. Enzi hizo tulikua tukisali jioni.
Waluther mulichelewa sana kujua njia ya jumuiya jinsi ilivyo rahisi kukusanya michango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni na hongereni sana. Yaan mimi nazaliwa naukuta huu utaratibu. 90s tunasali na chai ya maandazi kabisa tunakunywa mpk early 2000s. Hapa tuu parokia ya kimara tumeshajitenga kuna eneo tumenunua huku korogwe. Licha ya kwamba tuna kigango kizuri mno. Tumenunua eneo kubwa mil 500. Na ni hivi wauzaji wamejua ni roman tunanunua basi wanataka mpunga huo. Kimbo wametupa mil 300. The rest ni jumuiya sasa za korogwe hapa na bucha. Basi tulivyo wachache jumuiya yetu we acha tu. Sijui ndo mil ngapi hata sikumbuki maana sijahudhuria jumuiya recently. Yaan hutoboi. Utatoa tu. Acha kuchangia sasa ukakumbane na ya Ruge kuzikwa na katekista[emoji23][emoji23] na hakuna kanisa lina msimamo kama Roman. Yaan wakikutema wamekutema yaan hawaangalii ni nani. Kingunge naye si alizikwa na katekista? Ni kwakua hawaishi ukatoliki. Yaan maswali yanaulizwa, alikua akihudhuria jumuiya? Hapana. Zaka unatoa? Hapana. Michango ya junuiya? Hapana. Maswali ya kutosha. Halaf hapo mwishon ubaulizwa, je kwa majibu haya mhusika anastahili kupata huduma ama hastahili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] yaan utapata aibu mwenyewe. Bashite si aliendaga muombea ruge kuzikwa na kanisa? Unajua alijibiwaje? Heshima sana kwa Roman kwa hili. Hawaangalii asilani nani ni nani. Utapata huduma kutokana na ulivyoishi ndani ya imani yako. Ndo maana bado kanisa limesimama mpaka kesho. Yote hii ni kusimamia principals zao
Hivi mkuu monsinyori rev Patrick Kung'alo bado yupo jimboni? Nakumbuka alikuaga monsinyori huko Morogoro baada ya kutoka kua rector wa seminari flani ya jimbo hapo MoroNi kweli boss kafikia muda wa kustaafu Kama inavyotakikana, unajua ni kwanini alikuwepo msimamizi wa kutumia jimboni morogoro Padre msimbe anaesimamia masuala yote yakichungaji Kama askofu miaka karibu miwili kabla ya huyo askofo kustaafu?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwani akizikwa na katekista kuna utofauti akizikwa na Papa achilia mbali askofu?Unajua kuhusu muda wa kusali ni wanajumuiya wenyewe kuamua si lazima asubuhi. Enzi hizo tulikua tukisali jioni.
Waluther mulichelewa sana kujua njia ya jumuiya jinsi ilivyo rahisi kukusanya michango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni na hongereni sana. Yaan mimi nazaliwa naukuta huu utaratibu. 90s tunasali na chai ya maandazi kabisa tunakunywa mpk early 2000s. Hapa tuu parokia ya kimara tumeshajitenga kuna eneo tumenunua huku korogwe. Licha ya kwamba tuna kigango kizuri mno. Tumenunua eneo kubwa mil 500. Na ni hivi wauzaji wamejua ni roman tunanunua basi wanataka mpunga huo. Kimbo wametupa mil 300. The rest ni jumuiya sasa za korogwe hapa na bucha. Basi tulivyo wachache jumuiya yetu we acha tu. Sijui ndo mil ngapi hata sikumbuki maana sijahudhuria jumuiya recently. Yaan hutoboi. Utatoa tu. Acha kuchangia sasa ukakumbane na ya Ruge kuzikwa na katekista[emoji23][emoji23] na hakuna kanisa lina msimamo kama Roman. Yaan wakikutema wamekutema yaan hawaangalii ni nani. Kingunge naye si alizikwa na katekista? Ni kwakua hawaishi ukatoliki. Yaan maswali yanaulizwa, alikua akihudhuria jumuiya? Hapana. Zaka unatoa? Hapana. Michango ya junuiya? Hapana. Maswali ya kutosha. Halaf hapo mwishon ubaulizwa, je kwa majibu haya mhusika anastahili kupata huduma ama hastahili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] yaan utapata aibu mwenyewe. Bashite si aliendaga muombea ruge kuzikwa na kanisa? Unajua alijibiwaje? Heshima sana kwa Roman kwa hili. Hawaangalii asilani nani ni nani. Utapata huduma kutokana na ulivyoishi ndani ya imani yako. Ndo maana bado kanisa limesimama mpaka kesho. Yote hii ni kusimamia principals zao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], mkuu nimeipenda hii. Haswa huyo Happy, ni nani mkuu? Tuhabarishe maana..........!Pamoja na afya lakini kuna la ziada boss haliwezi kusemwa. Jana tu kwenye maziko ya askofu banzi Kama uliona happy alikuwepo lakini kwenye utambuzi alisahaulika mpaka askofu Alie kua karibu na Padre kitima alimkumbusha ndio akatambua uwepo wake.
Kwa mtu Kama askofu mkude ambae alimuachia kiti askofu banzi, na ambae pia wote walitoka Jimbo moja la morogoro ilikua sio mtu was kusahaulika kwenye utambulisho.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sifikirii mambo ya umbea ila tuu mimi ni mvivu sana kuamka. Lengo lake si baya ila sasa uhalisia ndo uko tofauti na malengoMie Jumuia siiipendi kwa kweli!...umbea umbea tu!
Mkuu... ikiwa wewe si wa Imani hii wala huhitaji kuhangaika kujua sana. Ila hakuna mkatoliki anayetaman kuzikwa hivyo. Tofauti ipo kubwa sana. Unapewa huduma accordingly kwa jinsi ulivyohudumika na kuishi ukatoliki wako. Umekua muumini wake kwa kukubali kufata matakwa ya kanisa. Na kila mmoja anajua afanye ninu ili iweje. Hao hawakuuishi ukatoliki ipasavyo. Kwakua ndo walikua wanarudi kundini na ziko ngazi kwa ngazi basi ndo huduma waliyostahiliKwani akizikwa na katekista kuna utofauti akizikwa na Papa achilia mbali askofu?
Kwa wakatoliki hakuna sharikaIdadi ya washarika imeongezeka kwa wingi.. Majengo yanalemewa.. Piga picha pale Morogoro mjini kuna Wakatoliki zaidi ya laki mbili.. Je, sharika zilizopo pale Moro mjini zina uwezo wa ku accomodate waumini wote, iwapo wote wataamua kuhudhuria kwenye misa? Jibu ni hapana.. So kanisa linapaswa lihakikishe linakuwa na majengo ya kutosha ku accomodate angalau 75% ya waumini iwapo wote wataamua kuhudhuria ibada kwa siku moja.. Jiwekeeni lengo la kufikia huko.
Jumuiya msizifanye minyororo kwenye shingo za waumini.. Baseline standard ni 'Kuikumbuka siku ya Bwana na kuitakasa', yani Jumapili. Kuwalazimisha waumini na kuwa sanction wasio sali kwenye jumuiya Jumamosi huwa mnaitoa kwenye Biblia gani? Kwa nini mnaenda nje ya scope na kutaka kuligeuza kanisa kuwa kama la Kisabato?
Rector wangu St. Peters Junior SeminaryHivi mkuu monsinyori rev Patrick Kung'alo bado yupo jimboni? Nakumbuka alikuaga monsinyori huko Morogoro baada ya kutoka kua rector wa seminari flani ya jimbo hapo Moro
Mkuu kumbe ni schoolmate. Nilipita pia kwenye mikono yake hapo SPSRector wangu St. Peters Junior Seminary
Nilikuwa nakaa Tuzinde enzi hizoo.Mkuu kumbe ni schoolmate. Nilipita pia kwenye mikono yake hapo SPS
Tuzinde si ni lile lipo nyuma ya Kagwa? Mimi nilikaa kote, isipokua Kizito tuNilikuwa nakaa Tuzinde enzi hizoo.