Papa kutokea Afrika bado sana. Yasijetokea kama pale UN iliposhikwa na Koffi Anan

Uongo. Lini Wayahudi wamewahi kuanzisha vita popote duniani? Always huaga wanachokozwa, wakijibu kwa ukali mnalalamika. Msiwachokoze tuone kama watashambulia anywhere or anybody. Alaaniwe yule aliye fikiria na kutekeleza lile shambulio la October 07, 2023. Matokeo yake, Lebanoni imeathirika, Gaza yamebaki magofu na sidhani kama kuna Mpalestina atarudi tena pale, baadhi ya defensive system za Iran zimeathirika, rais wa Syria kapinduliwa na watu wengi sana wamekufa just because of fala mmoja aliyesababisha haya yote
Wanapochukua ardhi na kuua watu kila siku huoni kuwa huo ni uchokozi.
Kuingia masjd aqswa pia huoni ni uchokozi.
 
Usiwachokoze; maeneo mengi yanayo chukuliwa nao ni baada ya wao kuchokozwa, wakijibu ndio mnaanza kulalamika tena. Hutaki kunyang'anywa eneo lako then usiwachokoze, nje ya hapo utawalaumu tu
 
Nani aliyechokozwa mwaka 1947,1967,2006,2014,2016,.........2023
 
Huna unacho kijua mkuu; mwaka 1948 walirudi pale wakiwa masikini, hawana mbele wala nyuma; wengi wao walikua wamekimbia KIFO kutoka kule Sobibo, wangeweza vipi kupigana na wenyeji? Katafute historia yao vizuri just in case unataka tuanzie huo mwaka uliouweka mwanzoni
 
Huwezi kuwa na historia tofauti na ukweli unaojulikana
Inajulikana waliwezeshwa na watu wa mataifa mengine walikowahi kukimbilia ikiwa ni njia ya kuwafukuzo huko kwa kuwachoka.Na kwa fedha walizokuwa nazo wakaanza kuwarubuni wapalestina wakaingia nao makubaliano na wengine wakawauzia.Hapo ndipo wapalestina walipokosea ,
Wapalestina waliposhtuka tayari walikwishazingirwa na adui aliyekuw na silaha zaidi kuliko zao na hata walipojaribu kudai chao kwa mujibu wa makubaliano walitolewa kwa mbali kwa njia hizi hizi za kuvunja makubaliano na kutumia ubabe.
 
Sasa kama waliuziwa au walirubuniwa why umedanganya kwamba walipigana? Achana na hilo la middle east, unajua Kibaha? Wapare walikuja pale mwishoni mwishoni mwa miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka ya 90, eneo lilikua tupu, wakauziwa na wenyeji; walikuja wengi tu kutoka Same; leo Kibaha ni kama sehemu ya Same; walitumia akili zao na wakafanikiwa. Uongozi wote wa Kibaha kwasasa ni wa kwao, hakuna Mzalamo pale; Same as Kimara na Wachagga. Je nao walaumiwe? Acha kuwachokoza, ukowachokoza tayari sasa hvi wana nguvu za both money and military, huwawezi tena. Waishi nao kwa kutulia kama walivo fanya Wapalestina wa West Bank, mbona wao hawasikiki wakipigana nao? Wamekubali kuishi pamoja
 
Ukisoma vizuri maelezo yangu ni kuwa kuuziana ilikuwa sio suala la mwanzo.Makubaliano ya ushirika ndio la mwanzo ambalo baadae waliwageuzia kibao.Pia kulikuwa na njama kutoka nje zilizokuwa juu ya uwezo wao wapalestina.Yote mawili ni mambo haramu ambayo lazima ukigundua lazima uanze kudai chako na nchicho wanachofanya wapalestina na watoto wa kipalestina.
Walichofanya wachaga na wapare hapo Kibaha na Kimara ni tofauti kidogo.Kwanza ardhi ilikuwepo ya kumwaga na hawakuhamisha wenyeji wala kuwatoa kwa nguvu.Na hawakuja kwa njama ili kufanya mambo ya kichokozi hapo baadae kama ilivyo mayahudi ambao walipanga kudai Alaqswa ambayo ni nembo ya kiimani ya waislamu.
 
Sasa kwanini allah asiwamalize mwenyewe hao wayahudi anatuachia mzigo sisi tuwachukie? Wakati anawaumba hao wayahudi hakujua kuna siku watamsumbua?
Hata na wewe usiache kuwaogopa.Kwani tumeambiwa kwa tabia zao tusiwakaribie.
daima wana vita na Mungu
 
Ukisoma vizuri maelezo yangu ni kuwa kuuziana ilikuwa sio suala la mwanzo.Makubaliano ya ushirika ndio la mwanzo ambalo baadae waliwageuzia kibao.Pia kulikuwa na njama kutoka nje zilizokuwa juu ya uwezo wao wapalestina.Yote mawili ni mambo haramu ambayo lazima ukigundua lazima uanze kudai chako na nchicho wanachofanya wapalestina na watoto wa kipalestina.
Walichofanya wachaga na wapare hapo Kibaha na Kimara ni tofauti kidogo.Kwanza ardhi ilikuwepo ya kumwaga na hawakuhamisha wenyeji wala kuwatoa kwa nguvu.Na hawakuja kwa njama ili kufanya mambo ya kichokozi hapo baadae kama ilivyo mayahudi ambao walipanga kudai Alaqswa ambayo ni nembo ya kiimani ya waislamu.
Kaka, mimi na wewe hatujui vizuri historia za hao watu but I want to tell u for sure, Wapalestina na Wayahudi wanajuana karne kadhaa huko kabla ya Yesu, wamepigana, wameuana sana. Labda nikupe homework, kwanini ile podium ambayo hutumika na mkuu wa taifa la Wayahudi (kwasasa Netanyahu) ina nembo ya King David? Ya kwetu ina ngao ya bibi na bwana plus pembe za ndovu, now why ya kwao ina King David? Ukipata hilo jibu, utaacha ubishi wako usiokua na maana yoyote
 
King David ni nani kwao.
Kama ni Daud mtoto wa Suleiman wala hawakuwa mayahudi.Walikuwa ni mitume watiifu kwa Allah na waislamu.
Hawana mahusiano na mayahudi.Historia imewapiga chenga ukichanganya na kujipendekeza kwa mitume kama Mussa as.
Wangekuwa wanampenda Mussa siku alipowaambia ingieni Palestina wasingemwambia nenda wewe kuna watu majabari humo.Wewe na Mola wako Kapiganeni nao mpaka mukiwashinda na sisi tutakuja.
Kama ni kujua mimi nawajua vizuri kuliko wewe kwani nafuata historia zao kutoka vyanzo vya uhakika.
 
Back
Top Bottom